Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Sio mbaya tumepamba sana.
Timu yetu ya Arsenal bado ana mechi ngumu narudia ngumu 3 vs Manchester City, Newcastle na Brighton hizi akipata positive results tunakuwa tumemaliza mchezo nakukumbusha hamis77 ya Anfield imeisha tayari uwe sometimes unapenda kutuskiliza watu kama sisi usiweke sana mahaba Goodnight guys tukutane next week
 
Sio mbaya tumepambana Sana

Liverpool akacheze conference
 
Nimeshuhudia mpira wa kipuuzi si mchezo.

Kati ya sisi na wao sisi tunauhitaji huu ushindi kuliko wao.

Lakini ni nani ameonyesha desire na passion? Wao

Nani alikua anakimbia kuliko mwenzake? Wao

Nani alikua anahakikisha loose space zote anakuepo? Wao

What the fvck is this? Timu siielewi inataka ikabeje, we are always present kwenye loose space leo instructions zilikua kupaki basi? We already have a lead ghafla mchezaji wetu akipata mpira humuoni kama ana hamu ya kusogea mbele badala yake unamuona anasimama anapunguza mwendo.

Na huu ndiyo uzoefu ambao City anatuacha nao.

Mid zetu zimepiga shots ngapi nje ya box? Forwards? This is bullshit
 
Xhaka ndo kawatoa mchezon hii game ujinga wake umewacost draw leo

City tutawakuta mkileta Aya masihara.
 
We unazani Liverpool ni sawa na leeds tushukuru hata tumepata point moja..hii
 
Arsenal kubeba au kutobeba ubingwa suala lipo mikononi mwa City.

Brighton ni mechi ngumu ila anakuja Etihad mkikaza mnapata points ila Newcastle away ni hatari.
 
Kwan tumefungwa ? Nikusikilize kwa lipi ? Si wewe humu uligoma hatugombei ubingwa

Mechi ilikuwa mikononi mwetu ,last chance tumeshindwa kuitumia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…