Zile 3 - 2 tulishinda kwa 4 2 3 1.
Leo tunaenda kwa 4 3 3. Tuliwanyima possession City nafikiri hapa tusikomae na possession tukomae na points kama last time tulivyokutana.
Forwards wanne wote wana mchango hadi nashindwa sema bora nani angeanza ila we are looking good. Jesus mzuri kusumbua defence Martinelli ashamburuza sana Trent na Saka anahofiwa na kila timu.
Mid yetu iko sawa. I'd prefer isiwe on movement mara nyingi kwakua Holding na Gabriel is not a perfect couple you can rely on 100%
Wao wamemuweka benchi ST wao wa milioni 100 na Jota kaanzishwa ili aendeleze ile lucky charm ya kuifunga Arsenal same na Salah. Gakpo is good but anaogopa kuengage physically angekuepo Saliba would've been better coz bullying ingekua kubwa zaidi.
Points 3 ni muhimu and I believe we can do it.