Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Uzuri wa hii mechi hamna mtu anapaki basi, hata mmoja awe mbovu vipi hakuna kuheshimiana njoo na mimi nakuja, ATTACK ATTACK ATTACK

Ndio maana #LIVARS ni FIXTURE yenye magoli mengi zaidi kwenye historia ya EPL.

Tunatakiwa tuwe wazuri tukiwa na mpira na tunapokuwa hatuna mpira.
 
Mkuu trust me, Leo liver lazima akae nyumba
mashambuliz ya Liverpool huwa yanategemea Sana full backs ambapo ni AA na Robertson, na ndio njia za saka na martinel

Leo Liverpool akifunguka anakula mkono
 
Na mukij kumfanyia marking zaid ya watu wa2 muna tupa sabbu ya sisi kuwa wengi
 
Saka tarent ukiachan tarent ni fighter mbona leo jogoo kaz anayo
 
Tarehe kama ya leo 9/4/ mwaka 2004 Tulimpiga Liverpool kuku kishingo nyundo 4

Leo mambo yanaenda kujirudia
 

Attachments

  • FB_IMG_16809723853980819.jpg
    49.6 KB · Views: 11
| Bukayo Saka.


"I love playing for Arsenal we don't fear anyone, we will be ready".

#AFC #COYG
 
Hiyo champions league nyie mtaikosa. Mikjitahidi sana mtaingia Europa league
UEFA wataamua wenyewe tuende Champions League kupitia top 4 au bingwa wa Europa League.

Sasa hivi tupo kwenye mission treble. Wewe subiria sherehe za kurudi Champions League baada ya miaka 7. Sherehe za ubingwa msimu huu zote zitafanyika jijini Manchester.
 
Tuwaombee Arsenal washinde leo ndugu zangu maana jukwaa letu la man u wenda likakosa wachangiaji kabisa.

Maana ndo wanamiliki jukwaa la man u kule wakichapwa kuwaona hapa Mpaka next week.
 
Mechi tano za mwisho kusimamiwa na refa wa leo zote tulipasuka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…