Hiyo kazi nilimpa kitambo tu Brighton ,Spurs Ni wapuuzi, muda mrefu tu wangeshakuwa nafasi ya 4 , manjesta angekuwa anafait kucheza Europahamis77
Ulitabiri vizuri kwamba united atagombea europa ila ukasahau Spurs ndiye anatakiwa kuhakikisha hilo. Spurs ni vyura
Caicedo nae ana balaa SanaMac Allister kuchukua WC kumempa confidence naona yuko relaxed na anacheza vizuri kuliko kawaida
Mbebe tuu mmepiga mpira sana mwaka huuNi kweli unavyosema ila kwa sasa no excuse katolewa FA ,Carabao na Europa league tuachage mentality za kinyonge ndizo miaka nenda rudi nyuma hatuna Big trophies kama EPL ,mpinzani wake yupo Championsleague, FA ,sisi tuna EPL pekee why tuone second place ni sehemu ya kuridhika na still tupo top hadi sasa?kwa sasa tulipo tukishindwa kubeba EPL na still 9 games zimebaki itakuwa ni tumefeli vibaya mno angalau hata tungeshika nafasi ya 3, kuliko mwaka mzima tuwe namba 1 then tumalize second place without FA,Carabao au Europa league medal!
Can you tell the future brother?Nafasi ya pili!!!???
Kama shabiki wa Arsenal na kocha wenu naamini malengo yenu yalishabadilika na kuwa "lazima tushinde ligi" chini ya hapo mtakuwa mmezingua sana.
Arsenal mkishindwa kubeba taji la EPL msimu huu sioni msimu ujao mkipata tena nafasi kama hii.
Nakubaliana na wewe YES malengo yalikuwa ni kwenda CHAMPIONS LEAGUEMalengo msimu huu ilikuwa kucheza UCL , Kushindania mataji Ni msimu ujao
Ni wachache ndio tuliona toka pre season kwa Gear hii ya UCL tutapigania ubingwa so relax
Mechi ya kesho hata tukipoteza kwa tunavyocheza tuna uwezo wakushinda mechi zijazo hata 7 mfululizo
Binafsi naamini tukishinda kesho shughuli imeisha , huyo city nimekuwa nikisema tunaenda kummaliza kwake
Hata haters wote wamekaa wanasubiri tukishinda kesho wata salenda ,
Jamaa ni fearless, namkubali sana.. he is so calm.Niko nachek game ya cty namuona Niles hivi kwann arteta asimjalibu akamfundisha awe mbadala wa partey naona Kama akipata training ya uhakika anaweza tu kuwashangaza watu kuliko kumuuza
Midtable team player uyoNiko nachek game ya cty namuona Niles hivi kwann arteta asimjalibu akamfundisha awe mbadala wa partey naona Kama akipata training ya uhakika anaweza tu kuwashangaza watu kuliko kumuuza
Yuko flexible ninmkabaji mzuri hapa nikuongezewa passing na game management aweze kuishika dimbaJamaa ni fearless, namkubali sana.. he is so calm.
Pia ni kiraka kweli kweliJamaa ni fearless, namkubali sana.. he is so calm.
Mimi nakuambia huyo ni mentality tuu ikibadilishwa ajiamini Kuna yule gnabri kabla hajauzwa niliona Kuna kitu anacho siku anauzwa niliumia Sana na baadae akaenda kufanyamakubwa Bayern kwahio wakati mwingine mwalimu anatakiwa kujaribu huenda akpata mtu sahihi bila kutumia mapaundi mengi akati mtu unayeMidtable team player uyo
Nawaombea Arsenal mema ila kwa hz mechi ni ngum mno.View attachment 2580346Arse88 mkibeba ubingwa niitwe kenge, nimekaa pale
"Malengo msimu huu ilikuwa kucheza UCL , Kushindania mataji Ni msimu ujao"Malengo msimu huu ilikuwa kucheza UCL , Kushindania mataji Ni msimu ujao
Ni wachache ndio tuliona toka pre season kwa Gear hii ya UCL tutapigania ubingwa so relax
Mechi ya kesho hata tukipoteza kwa tunavyocheza tuna uwezo wakushinda mechi zijazo hata 7 mfululizo
Binafsi naamini tukishinda kesho shughuli imeisha , huyo city nimekuwa nikisema tunaenda kummaliza kwake
Hata haters wote wamekaa wanasubiri tukishinda kesho wata salenda ,