Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Ila mashabiki wa united ni wajinga.

Yaani mtu anashangilia ushindi kwenye hili jukwaa ambao hata sisi hautuathiri kwa chochiote.
 
Mpaka hapa simdai Arteta. Naona kama ame overachieve kulingana na misimu iliyopita. Hata tukiwa wa pili siyo wengi watachukizwa.

Hata hivyo, ingali nafasi ya kwanza ipo up for grabs, why not grab it tunyanyue kwapa tutambe mtaani
Ni kweli unavyosema ila kwa sasa no excuse katolewa FA ,Carabao na Europa league tuachage mentality za kinyonge ndizo miaka nenda rudi nyuma hatuna Big trophies kama EPL ,mpinzani wake yupo Champions
league, FA ,sisi tuna EPL pekee why tuone second place ni sehemu ya kuridhika na still tupo top hadi sasa?kwa sasa tulipo tukishindwa kubeba EPL na still 9 games zimebaki itakuwa ni tumefeli vibaya mno angalau hata tungeshika nafasi ya 3, kuliko mwaka mzima tuwe namba 1 then tumalize second place without FA,Carabao au Europa league medal
!
 
Mpaka hapa simdai Arteta. Naona kama ame overachieve kulingana na misimu iliyopita. Hata tukiwa wa pili siyo wengi watachukizwa.

Hata hivyo, ingali nafasi ya kwanza ipo up for grabs, why not grab it tunyanyue kwapa tutambe mtaani
Nafasi ya pili!!!???

Kama shabiki wa Arsenal na kocha wenu naamini malengo yenu yalishabadilika na kuwa "lazima tushinde ligi" chini ya hapo mtakuwa mmezingua sana.

Arsenal mkishindwa kubeba taji la EPL msimu huu sioni msimu ujao mkipata tena nafasi kama hii.
 
Mentality za 'We will try again next year' ni za kimiyeyusho I hope wachezaji na bodi wamevua hiyo na wamebaki nazo mashabiki wachache
 
Napoli inayotisha msimu huu umri wa wachezaji wake ni umri ambao wachezaji wa Liva walikua nao kwa wingi wao.

Kwa maoni yangu kwakua Seria A ni ligi ina vilabu havina pesa sana kuna uwezekano Napoli isisajili elite players au hata ikajikuta imeachia players hivyo Napoli msimu ujao asiposajili akaamua kwenda na kikosi hichi hichi hatochukua kombe.

Akileta ubishi akaenda nacho msimu wa kesho kutwa basi kitampata kinachompata Liva. Arsenal ina wachezaji wenye umri wa kutosha kuwepo kwa misimu mitatu minne mbele.

What am saying is ninaamini Arsenal bado tuna title shot msimu ujao
 
Arsenal tuna average ya 24-25, so tuna uwezo wa kupigania Titles kwa misimu 4-5 mfululizo
 
[
] Nathan Aké:

“It’s tough against this player [Bukayo Saka]…”

“I watched his games. If you give Saka too much space he can just run at you with pace and you’re in trouble. When the ball gets switched to Saka, I try to go as tight as quickly as possible with him so he has less space to do his actions in…”

“With Saka it’s very difficult because he likes to go inside, but if you close the inside off, he’ll go outside and cross. He can go both ways. It’s very tough.” #ManCity

[@TimesSport]

 
Kumbe washamjulia😀
 
Na kwenye hiz mech10 game1 ndo ngumu na hii mech arsenal akipata point3 kwa man city bac ubingwa utakuwa upo mikonon mwao
Man City ikifungwa na Southampton leo, Arsenal kesho itaelekea kuchukua kombe ikiwa itaifunga Liverpool pale Anfield.

Maana Arsenal itakuwa yaongoza kwa points 11.
 
FACT tupo nafasi ya 1 for almost season nzima then tumalize second place without FA,Carabao cup au Europa medal
then tuone tumeachive kitu no way kwa sasa EPL ni lazima
Malengo msimu huu ilikuwa kucheza UCL , Kushindania mataji Ni msimu ujao

Ni wachache ndio tuliona toka pre season kwa Gear hii ya UCL tutapigania ubingwa so relax

Mechi ya kesho hata tukipoteza kwa tunavyocheza tuna uwezo wakushinda mechi zijazo hata 7 mfululizo

Binafsi naamini tukishinda kesho shughuli imeisha , huyo city nimekuwa nikisema tunaenda kummaliza kwake

Hata haters wote wamekaa wanasubiri tukishinda kesho wata salenda ,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…