DUBULIHASA
JF-Expert Member
- Nov 26, 2016
- 5,948
- 11,393
Huyo Rob holding huwa simwamin sawa na yule Chambers cjui yuko wapi ck hzNinachohofia ni battle ya Salah v Zinchenko.. Salah akiamka vizuri ule upande kazi tunayo.
Na Salah ana kawaida ya kubaki kwenye mstari wa kati kipindi wapinzani wao wakienda kucheza kona ili kuwasaidia kwenye counter attacks.. sijui itakuaje mana beki wa kuzuia hizo alikua ni Saliba ambae ana speed, nguvu na uwezo mzuri wa kudefend.
Holding asije akatufanyia ujinga this time.
Martinell huwa anamkimbiza Sana , mechi ya mwisho Emirates ,kabla Klopp alibwata Sana alipoambiwa TAA sio mzuri defensively , ile mechi inaanza tu Goli linapatikana upande wa TAA , ile mechi tulipata 2 goals upande wa TAA, akamtoa haraka .Mkuu km huyo T.A.A alikimbizwa na mshusha sox kweli ataweza mziki wa Martinell, yule mtoto utafikir kafungwa mota miguun anavyoteleza
Vipigo tu tumeambulia..tena vizito.[emoji91]View attachment 2580052
[emoji419] Liverpool wanaenda kukutana na Arsenal yenye ubora zaidi kuliko game ya Kwanza ikiwa na nidhamu zaidi kwa matokea ya hivi karibuni pamoja na kuwa na wachezaji muhimu kwenye safu zoteVipigo tu tumeambulia..tena vizito
Aiseeee[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]nawazaga sana kama carzola na ile form yake ya 2012/2013 ndo angekuwa anacheza nafasi ya xhaka kwa sasa uuuuh....
Sawa kengeView attachment 2580346Arse88 mkibeba ubingwa niitwe kenge, nimekaa pale
Mmeanza Tena unafiki wenu,View attachment 2580346Arse88 mkibeba ubingwa niitwe kenge, nimekaa pale