kassim kimoby
JF-Expert Member
- May 28, 2018
- 607
- 488
Hiii game partey hakiwepo mbona watajua kma hizipoint 72 hatuja zipata kwa kubaatisha.With Partey, Jesus and Saka full fit
Etihad tunaondoka na alama tatu
Mark my words bro
Sijui wenzangu wanaonaje ila hii Arsenal si timu yakupenda kucheza nayo. Wacha tuone kwenye mechi ya Anfield, toka msimu umeanza watu wanasema ohh bado Liverpool, mara bado Chelsea, mara bado City.Tukimpiga Liverpool for me shughuli itakuwa imeishia hapo
Tutahitaji kwenda kutangazia ubingwa etihad
Kwa Mpira tuliocheza Emirates vs City Basi tunaenda kumuua pale pale kwake
Mkuu, unaona kama ninavyoona mimi. Ramsdale kuna clip nilikuwa naangalia anasema wao walishaandaliwa kwa kelele za Anfield hawana chakupoteza.Kitu ambacho Liverpool watahitaji kufanya watakapocheza na Arsenal Ni wazuie tu kufungwa mabao zaidi ya manne maana kupigo Chao Kiko pale pale.
Hata BHA tulilala na viatuKwa msimu huu big game kwetu ilikua away against Leeds United
Duh mapema SanaLeicester imeachana na Brendan Rodgers
Commentators wanatangaza kwenye hii mechi ya Soton vs Hammers
Sijui watamchukua naniDuh mapema Sana
Wanazidi kujichimbia kaburi tu , Timu wameuza key players ,Wanataka Rodger aendelee kuwabebaSijui watamchukua nani
Na hili ndiyo tatizo timu inatarajia jina walilojijengea kuwabeba na siyo players inaosajiliWanazidi kujichimbia kaburi tu , Timu wameuza key players ,Wanataka Rodger aendelee kuwabeba
Shida iliyopo siku hizi ni kuangalia wachezaji YouTubeTujitahidi kuwaangalia wachezaji wakicheza mechi nzima kabla hatujasema wanafaa Arsenal. Tuache kutegemea youtube au stats kufuatilia mchezaji.
Kwa hii first half ya Soton na Hammers kwa jinsi mid yetu inacheza ni sahihi kumchukua Lavia kumtrain kwenye traits za Partey kuliko Rice.
Kuna watu wanamuona et JESUS ni mchezaji wa kawaida nashangaa sana,game ya Jana Jesus ndio kaifungua,kile alichofanya kwenye box la wapinzani tukapata penalty ndio ulikuwa mwanzo wa kila kitu,ile game na newcastle ya round ya kwanza angekuwepo tungepata magoli,kitu kikubwa kuhusu jesus anaweza kuchambua safu nzima ya ulinzi ya team pinzani akawaexpose watu wengine ndio wakata magoli kama kina odegard.so uwepo wake na TP pale mbele unanipa assurance ya game yetu na liverpool,man city and newcastle.Ndio maana tukaleta Zinny na Jesus wenye experience
Angalia jana first half timu ilikua haieleweki inacheza kitu gani ila Gabby kachukua mpira kaingia nao kwenye box na kusababisha penati
Tunapoelekea huenda tusiwe tunacheza kwa jinsi tulivyozoea ila muhimu itakua alama tatu
Mimi binafsi nilikuwa mmoja wapo wa watu walikuwa wanamkubali sana mudryk,ila nimeenda kuangali vizuri video zake youtube nimegundua hata one v one mpala mpira uwe na kasi ndio anaweza kumtoka mtu,yeye ni mzuri kwenye kukimbia na mpia na kuachia pasi,lakin kwa team zinaweka low block ndio utaona ni mchezaji wa kawaida tumapema sana kusema ivyo,
usiendeshwe na hisia za wivu kisa tulimkosa mudryk, binafsi naona kipaji chake kikiwa dhahiri shahiri sema mazingira tu aliyoyakuta chelsea
Unawaweka Newcastle? 🙄🙄Kuna watu wanamuona et JESUS ni mchezaji wa kawaida nashangaa sana,game ya Jana Jesus ndio kaifungua,kile alichofanya kwenye box la wapinzani tukapata penalty ndio ulikuwa mwanzo wa kila kitu,ile game na newcastle ya round ya kwanza angekuwepo tungepata magoli,kitu kikubwa kuhusu jesus anaweza kuchambua safu nzima ya ulinzi ya team pinzani akawaexpose watu wengine ndio wakata magoli kama kina odegard.so uwepo wake na TP pale mbele unanipa assurance ya game yetu na liverpool,man city and newcastle.
Nasikia Rice Ni kwa ajili ya position ya xhakaTujitahidi kuwaangalia wachezaji wakicheza mechi nzima kabla hatujasema wanafaa Arsenal. Tuache kutegemea youtube au stats kufuatilia mchezaji.
Kwa hii first half ya Soton na Hammers kwa jinsi mid yetu inacheza ni sahihi kumchukua Lavia kumtrain kwenye traits za Partey kuliko Rice.
Marco Silva alisema kabla ya mechi atatupress Sana ,Unawaweka Newcastle?
Bro first round na Newcastle walijafibu kufunguka, in 15 minutes Howe akaona watapotea. Akapaki basi.
Na kuna siku nilisema timu siku hizi hazitukabii juu Fulham learnt it the hard way. City kutususia possession they knew nini tunaweza fanya ukitaka enda mguu kwa mguu na Arsenal ya sasa