Hivi unadhani kabisa tutaenda etihad na kupata ushindi?Tukimpiga Liverpool for me shughuli itakuwa imeishia hapo
Tutahitaji kwenda kutangazia ubingwa etihad
Kwa Mpira tuliocheza Emirates vs City Basi tunaenda kumuua pale pale kwake
Tuna kikosi na team nzuri sana safari hii,mentality ishawaingia hadi vijana wadogo tulionao uwepo wa Jorginho,zinny,jesus na Arteta mwenyewe sina wasiwasi na game zilizobaki, uzur tuna game week after week tofauti na City katikat ya week wana game.Moyo unaenda mbio nikiona game za April zinazokuja kuanzia next week, Manchester City ana experience sana na game hizi ,kipara hajawahi kuanguka kwa marathon za namna hii anaweza akaboronga mwanzoni ila kwa game hizi za marathonje tutatoboa?Mungu atusaidie
Hakuna kinachoshindikana, na uwezo ua tunaona tena sanaHivi unadhani kabisa tutaenda etihad na kupata ushindi?
Anyway, hongereni gunners, game by game wakuu!!
Itawaongezea kujiamin kwa wachezaji na naombea hiyo game partey hawepoHiyo game City tunampiga hapo hapo kwake
Liverpool vs arsenal
Man city vs arsenal
Newcastle vs arsenal
Chelsea vs arsenal
Lazima kitaelewaka tuhizo ndio big game Kwa arsenal
Kwa upana wa kikosi cha City anamudu hizo games zote bila kuchosha kikosi.Tuna kikosi na team nzuri sana safari hii,mentality ishawaingia hadi vijana wadogo tulionao uwepo wa Jorginho,zinny,jesus na Arteta mwenyewe sina wasiwasi na game zilizobaki, uzur tuna game week after week tofauti na City katikat ya week wana game.
Ndio maana tukaleta Zinny na Jesus wenye experienceMoyo unaenda mbio nikiona game za April zinazokuja kuanzia next week, Manchester City ana experience sana na game hizi ,kipara hajawahi kuanguka kwa marathon za namna hii anaweza akaboronga mwanzoni ila kwa game hizi za marathonje tutatoboa?Mungu atusaidie
With Partey, Jesus and Saka full fitHivi unadhani kabisa tutaenda etihad na kupata ushindi?
Anyway, hongereni gunners, game by game wakuu!!
Kwa msimu huu big game kwetu ilikua away against Leeds UnitedLiverpool vs arsenal
Man city vs arsenal
Newcastle vs arsenal
Chelsea vs arsenal
Lazima kitaelewaka tuhizo ndio big game Kwa arsenal
Tuta win 2 tutatoka draw 1 tunapoteza 1Liverpool vs arsenal
Man city vs arsenal
Newcastle vs arsenal
Chelsea vs arsenal
Lazima kitaelewaka tuhizo ndio big game Kwa arsenal
waliona utii na unyenyekevuHuyu Potter hafai kunifundisha hata Singida United sijui Chelsea waliona Nini kwake
Liverpool vs arsenal
Man city vs arsenal
Newcastle vs arsenal
Chelsea vs arsenal
Lazima kitaelewaka tuhizo ndio big game Kwa arsenal
Hapa tulilamba dume aisee! Jamaa anajua kunyumbulika uwanjani
Lazima tushindeWe acha kuwa na wasiwasi mkuu,hapa tutapita kirahisi Sana Tena hutaamini.
Hivi unakumbuka hizi mechi zilivyofuatana na tulifanikiwa kukusanya point 7 out of 9
👇
Tottenham vs Arsenal
Arsenal vs Necastle
Arsenal vs Man Utd
Tumewagonga goli 3 hapo Emirates unasema tulikuwa tunaviziaYaani Timu yetu inavyocheza inakubidi tu upaki Basi usubiri miujiza kama alivyofanya City
Manjesta tulimpakisha Basi karibu nusu saa (dakika 30) sio Kama alipenda
Sasa nashangaa mtu anasema tuna gemu ngumu anamuweka Chelsea , Newcastle (huyu ambaye anakaa nyuma muda mwingi) ,
Liverpool anachotisha Sasa Ni jina tu, Timu yako ikiweza kufanya buildup vzr kwa usahihi Against Liverpool una asilimia 90 ya kupata Goli
Kaangalieni mechi Za Liverpool vs Brighton , Liverpool Vs Madrid , Liverpool vs Bournamouth,
Mechi ya Jana Liverpool vs Mancity, kila sekunde Unaona mancity anapata Goli ,
Liverpool vs manjesta alishinda 7-0 ,sababu manjesta Ni timu isiyoweza kufanya buildup kwa usahihi
Record zinaonesha Liverpool ana conceded big chances Sana ,Ni wa 19
View attachment 2574002
SawaTumewagonga goli 3 hapo Emirates unasema tulikuwa tunavizia
Nyie mliokuwa mnapossess mpira mlipiga shot on target ngapi ?
Yaan arsenal hakuna kitu kingine zaidi ya kipigo game ya Etihad ....
Kama mnategemea point kwetu kazi mnayo kubwa Sana ....