Tik Tak hiyo anasema walifundishwa Barcelona
Hata kumfanya Beki au mchezaji yeyote kuwa nafasi nyingine ndan ya mechi
Falsafa za Johan Cruyff
Mfumo Ni 4-3-3
Ila ndan mabeki watatu
Mfano leo City vs Liverpool kwenye makaratasi City 4-3-3 lakini ndan John stones alikuwa anakuwa Holding Midfielder
Arsenal tunamtumia Zinny LB kuwa Holding au Attacking Midfielder