verifaidi yuza
JF-Expert Member
- Sep 13, 2018
- 3,121
- 6,184
He deserve itBukayo saka kulipwa £300k per week , Anakuwa mchezaji anayelipwa pesa kubwa ndani ya Arsenal baada ya Gabriel Jesus £250k per week View attachment 2572081
Our own Bukayo Saka, A graduate from Hale End.Bukayo saka kulipwa £300k per week , Anakuwa mchezaji anayelipwa pesa kubwa ndani ya Arsenal baada ya Gabriel Jesus £250k per week View attachment 2572081
Kama nilivyokwambia tumebeba tatu moja tumewaachiaAaron Ramsdale wins ‘Save of the month’ for March 2023View attachment 2572160
Kama ulivyosema aiseeKama nilivyokwambia tumebeba tatu moja tumewaachia
Na iwe ivyo 🙏Kama ulivyosema aisee
Mwezi April naona tuki draw mechi Moja Kati ya Liverpool au city , hatutachukua mwez April ,
Ila May naona tukibeba tena
Randal Kolo Muani ni mtu kaka, namuona mbali sana jana kaweka kamba moja ya penalty dhidi ya Bochum.wazee kuna player anaitwa kolo muani.. uyu dgo wa france ni mchezaji mzuri sna.. ana faa apate kocha kam arteta iv kwa sasa ;awe mkubwa zaid y aliv kuw now.
Kolo muani na Thuram wanajuawazee kuna player anaitwa kolo muani.. uyu dgo wa france ni mchezaji mzuri sna.. ana faa apate kocha kam arteta iv kwa sasa ;awe mkubwa zaid y aliv kuw now.
Najivunia kuwa mshabiki wa club kubwaa,,,,
Come on you gunners
Acha wivu wa mademu wa kitaa. Arsenal kuwa kubwa au ndogo kusikutishe. Angalia wafanyayo sasahio club kubwa yenyewe sasa:
*Mara ya mwisho kubeba Epl ni miaka 20 iliyopita.
*Mara ya mwisho kushiriki Uefa ni miaka 8 iliyopita.
*Club kubwa ambayo tokea kuumbwa dunia haijawahi shinda kombe la Uefa.
*Club kubwa ambayo tokea kuumbwa dunia haijawahi shinda hata kombe la Europa.
Arsenyani ni Club kubwa labda kwenye michuano ya FA, maana kila baada ya miaka mitatu hua inabahatika kuchukua walau mara moja,
Kuna kamstari kembamba sana kanakotenganisha ukubwa wa Arsenal na Crystal Palace.
# One season wonder
View attachment 2572749
Hizi awards huwa zinaambatana na chochote cha kutia mfukoni?Mikel Arteta wins another Manager of the month award. His 4th this season.
It’s his 6th overall which puts him in the top 10 in the list of managers with the most manager of the month awards.View attachment 2572050
huu mwaka kwa upande wa josep guardiola umekaa kushoto, jamaa hajabeba tuzo hata moja ya mwezi.Watapata tabu sana kwa hii arsenal ya NDOO
Malizia na NDOO kabisa tunabebahuu mwaka kwa upande wa josep guardiola umekaa kushoto, jamaa hajabeba tuzo hata moja ya mwezi.
sijambo la kawaida.
hongera kwa mikel arteta,
namuona akibeba tuzo ya kocha bora wa mwaka.
Kaenda kuua kipaji chake tuHuyu Kalvin Phillips alikubali nini kwenda City?