Bro inaonekana uko vizuri kwenye kusoma lipsOya Rice huyu hapa, zinny anamuuliza unakuja, anajibu ndio. Lazima tufanye big signing this window.View attachment 2566964
Mechi nimeanza angalia dakika ya 61.Mbali ya kuwa hauangalii mechi pia nimegundua you don't understand the ideal criteria for a 6 in a 433 system. Kuna vitu aren't important for a sitting 6 position
Will Jr sijui kaona nini kwa Rice kiasi anaamini akifika tu Arsenal ataanza kudeliver instant.Zubimendi kama ana mapenzi na Barca tunaweza kumkosa ila ni direct replacement nzuri ya Partey kuliko Rice ambae atahitaji muda kutoa anachoofa Partey
Mbona unatoa mfano ambao ni hypothetically yaani kitu ambacho kinafikilika lkn hakiwezi kutokeaMechi nimeanza angalia dakika ya 61.
Nina swali mfano kesho una mechi Partey kaumia, ila unaweza mkodi Rodri kutoka City au Rice wa Westham. Utamkodi nani?
Hapo kwenye options umekosea. Ilitakiwa umueke Rice v Zubimendi kama ulivyochambua hapo juu, na sio Rice v Rodri.Mechi nimeanza angalia dakika ya 61.
Nina swali mfano kesho una mechi Partey kaumia, ila unaweza mkodi Rodri kutoka City au Rice wa Westham. Utamkodi nani?
Rodri na Rice wote ni viungo mmoja ni instant replacement wa Partey hapo. So ni uamuzi wako kuassume nilichosemaMbona unatoa mfano ambao ni hypothetically yaani kitu ambacho kinafikilika lkn hakiwezi kutokea
Kama jibu ni Rodri 👏👏Hapo kwenye options umekosea. Ilitakiwa umueke Rice v Zubimendi kama ulivyochambua hapo juu, na sio Rice v Rodri.
It's obvious, kama ni Rice v Rodri, Jibu ni Rodri.
Ila Rice v Zubimendi, nitaenda na Rice. Option ya Zubimendi itakuja ikiwa tuta save costs.
Kwann niassume hakuna kitu kama hicho wewe wap uliona katikati ya mechi timu inaazima mchezaji ?Rodri na Rice wote ni viungo mmoja ni instant replacement wa Partey hapo. So ni uamuzi wako kuassume nilichosema
Yah kamuuliza kasema anakujaOya Rice huyu hapa, zinny anamuuliza unakuja, anajibu ndio. Lazima tufanye big signing this window.View attachment 2566964
Naomba nichangie kidogo kwa 4-3-3 ambayo tunatumia Lone 6Mechi nimeanza angalia dakika ya 61.
Nina swali mfano kesho una mechi Partey kaumia, ila unaweza mkodi Rodri kutoka City au Rice wa Westham. Utamkodi nani?
MBona video sek 3 tu? Hapo kamwambia tu 'good game bruv' na jamaa akasema 'thanks mate' 😄😄😄Oya Rice huyu hapa, zinny anamuuliza unakuja, anajibu ndio. Lazima tufanye big signing this window.View attachment 2566964
Tumshukuru Kwa kutuwezesha kumpiga Spurs nje ndani msimu huu
Na kwa imani hiyo kwa Casemiro hata Erik akamuweka jamaa kwenye 4 1 4 1 naamini hii formation ilisababisha apate redNaomba nichangie kidogo kwa 4-3-3 ambayo tunatumia Lone 6
Lazima tu umtumie Rodri
Yaan hata Casemiro hafai ,binafsi namuona Rice Ni version ya Casemiro
Viungo wa namna hii Kuna vitu Wana hitaji ili kucheza lone 6
Ile kuhusishwa kwenye buildup na u supply mipira pande zote kwa usahihi ,ukifanyiwa pressing utoboe vzr tu, ukave eneo kubwa peke yako sio kazi nyepes
Thus why pale Madrid casemiro alikuwa hausishwi kwenye buildup, Ni Modric na Kross ndio wanachukua mipira chini na kuanza kusupply kwa pass zao ndefu na za ufundi , casemiro alikuwa Ni kukaba na kuwapa hao mafundi mpira wautendee kazi.
Manjesta Wanataka Casemiro acheze Kama lone 6 za modern football ahusike kwenye buildup , akave eneo kubwa ,ndio maana Yellow and Red cards zinamuandama , lakini Rodri, Partey ,kina busquet uchezaji wao wanaweza kutoka uwanjan wasafi
Football ya zaman bado inaamini no.6 lazima awe na fujo ,mkorofi, kadi za njano na nyekundu azipate
TP si mzuri kwa matumizi ya mpira kama alivyo Bosquets au Rodrigo japo TP ni bora kuliko Casemiro in this regard. Hivyo Zinny kuwa inverted Arsenal inachangiwa na mambo matatu, moja kusadia progression, huu ni udhaifu wa namba 6 wetu ku supply clean balls kwenye tight areas kitu ambacho Declan anafanya every damn timeNaomba nichangie kidogo kwa 4-3-3 ambayo tunatumia Lone 6
Lazima tu umtumie Rodri
Yaan hata Casemiro hafai ,binafsi namuona Rice Ni version ya Casemiro
Viungo wa namna hii Kuna vitu Wana hitaji ili kucheza lone 6
Ile kuhusishwa kwenye buildup na u supply mipira pande zote kwa usahihi ,ukifanyiwa pressing utoboe vzr tu, ukave eneo kubwa peke yako sio kazi nyepes
Thus why pale Madrid casemiro alikuwa hausishwi kwenye buildup, Ni Modric na Kross ndio wanachukua mipira chini na kuanza kusupply kwa pass zao ndefu na za ufundi , casemiro alikuwa Ni kukaba na kuwapa hao mafundi mpira wautendee kazi.
Manjesta Wanataka Casemiro acheze Kama lone 6 za modern football ahusike kwenye buildup , akave eneo kubwa ,ndio maana Yellow and Red cards zinamuandama , lakini Rodri, Partey ,kina busquet uchezaji wao wanaweza kutoka uwanjan wasafi
Football ya zaman bado inaamini no.6 lazima awe na fujo ,mkorofi, kadi za njano na nyekundu azipate
Ila wewe jamaa ,haya bhanakwa arsenal nayoijua mimi hata nafasi ya pili hamtamaliza.
Willy ulikuwa na maonoTatizo hujanielewa, kwa sajili hizi zikifanikiwa zitatupa 10+ more points nxt season, kumbuka msimu huu tumepata almost point 70. 2023/24 Arsenal itastrength tena kuongeza margin, so bingwa hatofika point 90+ kama sasa, Kama Arsenal atakuwa na uhakika wa point 80+ na ubingwa unahitaji point 80+, so inamzuia vipi Arsenal kuwa kwenye title push?
Wewe jamaa umepotea Sana na tabiri zako za tambitambiAlly we unazungumzia nafasi ya pili wakati wenzako wanapiga hesabu wasikose Europa tena msimu ujao?
Kwa hii miaka 4 ijayo usiihesabie kabisa hii Academy kwenye mbio za top 4, watashiriki CL miaka 4 mbele baada ya watoto wao kukomaa vizuri na endapo hawatauzwa kwa kipindi hicho.
Mpiga Ramli wa Unyumbuni, vipi unaiongelea vp hii Academy yetuAlly we unazungumzia nafasi ya pili wakati wenzako wanapiga hesabu wasikose Europa tena msimu ujao?
Kwa hii miaka 4 ijayo usiihesabie kabisa hii Academy kwenye mbio za top 4, watashiriki CL miaka 4 mbele baada ya watoto wao kukomaa vizuri na endapo hawatauzwa kwa kipindi hicho.