Arsenal (The Gunners) | Special Thread


Caicedo ana pumzi kuliko Rice
 
Kaka nakumbuka ulisema msimu wetu ni 23/24 ila tupo ahead of schedule tayari
 
Hivi hatuwezi wapata wote kisha tukaongeza RW?
 
Naona nimepiga kisu Cha mbavu wote mnatoka mafichoni kuja kutapatapa hapa mni jibu kwanini mjawai kubeba hata ueropa kwanza.

Arsenal ingekuwa Man city in the passed 10yrs, sisi wengine tungekua
Tumetoroka Tanzania
Wakati ukifika tutabeba
 
Haongeze nguvu kweny kukaba yupo softi sana
 
Wakubwa tunaposema tutaidominate hii ligi kwa miaka 10+ tunamaanisha

Kuna balaa hili hapa dogo anaitwa Charlie Patino yupo Blackpool kwa mkopo

Anacheza CM(LCM) nafasi ya Granit Xhaka

Unyumbulifu


Tackling


One touch football


Press resistant


Tight spaces


Long balls


Interception


Kama atarudi msimu ujao sehemu ya kuimprove ni physicality tu

Naweza kum-rate huyu ahead of Vieira (Maoni yangu)

Kama tukimpata Caicedo/Rice tukaongeza RW na RB naona tutaenda kuchallenge UEFA next season

makaveli10 ukipata muda mfatilie huyu
 

Ni ngumu kumpata Caicedo kuliko Rice, simpi nafasi ya kuja Arsenal kwa sababu price tag itakuwa kubwa mno
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…