Bachelor ll
JF-Expert Member
- Dec 15, 2019
- 4,103
- 6,698
Muda mwingine shabiki haitaji sana kujua mpira au mbinu ili amkatae kocha, mashabiki kitu cha kwanza wanachotaka kuona Team yao inapata matokeo kisha inacheza vizuriWaliomtilia mashaka Arteta since day one huwa siwaelewi hoja zao Ni zipi
Binafsi mechi ya Kwanza tu nilijua huyu Sasa ndiye mrithi sahihi wa Arsene Wenger
Una matatizo ya akili nini?Rashford alifunga Goli 2 mwez uliopita wakamuweka na tuzo wakampa
Martinell ana Goli 4 mwezi huu Cha ajabu hata kwenye nominees hayupo
Mashabiki wengi wa Arsenal wameanza kupaza sauti usishangae asiwekwe hata kwenye Nominees ya YOUNG PLAYER OF THE YEAR na ana miaka 21, akawekwa Rashford anayetafuta mwaka wa 27
Tunasema haya ,msimu uliopita Saka kadhulumiwa tuzo nyingi tu
Mm nawalaumu maana kwa timu aliyoikuta asingeweza kutoboa kwa mbio ndefuMuda mwingine shabiki haitaji sana kujua mpira au mbinu ili amkatae kocha, mashabiki kitu cha kwanza wanachotaka kuona Team yao inapata matokeo kisha inacheza vizuri
Sasa kama Team imefukuza kocha kutokana na matokeo mabaya it means kocha Atakaekuja atakuwa na jukumu moja tu la kuitoa team sehemu mbaya alipoikuta na kuipeleka team sehemu ingine, kama hilo litashindikana basi tegemea tu mashabiki watamkataa kocha
Kuhusu wengine kumkubali kocha japokuwa team haifanyi vizuri, hapo sasa inategemea na mtu mwenyewe ana uelewa gani wa mpira na mbinu zake na sio lazima Shabiki ajue hayo ye anataka furaha tu
Me sikuwa miongoni mwa mashabiki waliokuwa wanamkataa Arteta ila siwashangai wala kuwalaumu waliokuwa wanamkataa maana Kwa kipindi kile alikuwa hafanyi kile ambacho kingefanya mashabiki wote wawe nyuma yake
Kaangalie January Walipompa Hiyo tuzo alifunga Goli ngapiWe jamaa unaona raha kuwa unadanganya kila wakati.?
Mwezi uliopita (Feb) Rashford kafunga Goals 5.
2 goals vs Leeds
1goal vs Crystal Palace
2 goals vs Leicester.
Halafu umeshapata idadi ya mechi ambazo Martinelli amecheza msimu huu.?
Kaangalie January Walipompa Hiyo tuzo alifunga Goli ngapi
Halafu niliweka Takwimu za EPL , wewe unalazimisha mashindano yote , kwani Mchezaji Bora wa mwezi EPL Ni mashindano yote?
Tunajua mmecheza Hadi na kina Chalton, Reading
Mfano Arsenal Carabao tulitoka hatua za awali kabisa
Sasa umekuja nilipopataka , Martinell Kwanza hajacheza mechi 41 Kama unavyodai ,kacheza mechi 38, EPL kacheza mech 28 ,hiz 10 nyingine nyingi hajaanza ,even hata World cup hakupewa nafasi Kama Unavyotaka kudai kacheza mechi 41Kwhiyo Mwezi uliopita ni January?
Ok twende hivyo hivyo, Rashford mwezi huo(Jan) alifunga 3 Goals kwenye EPL.
Vs Bournemouth
Vs Man City
Vs Arsenal.
Tofauti na wewe unavyodai alifunga goli 2.
Naona unahamisha magoli,
wewe ulisema Fans wa Man U wanamsifia sana Rashford wakati kamzidi Martinelli Goli 1.
Mimi nikakuambia Sifa anazopewa Rashford ni kutokana na performance yake kwenye mashindano yote( WC, EL, FA, CC) si EPL pekee
Kitu ambacho Martinelli hana msimu huu.
Ana 13 goals in 41 matches.
NB: Martinelli ni Mchezaji mzuri ila unakosea kumlinganisha na Rashford msimu huu.
Hata Eye test inaonyesha nani yuko vizuri this season.
Umesahau ninyi mmecheza na Oxford?
Brother, Ahsante sana kwa kunikumbuka. Nipo japo nimepotea kiasi.Hivi wakuu kuna huyu mdau Relief Mirzska yuko wapi sahivi? Au kabadili I'd
Nipo mkuu! Nipo brotherHis last post was 19/03/2022.
Sidhani kama alibadili ID kwa sababu tunafahamiana vizuri, hata mtu akibadili I’d inajulikana
Di marzio anasema kweli kuwa Chelsea wanaweza act km ilivyokuwa kwa Mudryk, ni suala la Declan mwenyewe kuamua aende wapi, Chelsea sasa hawana natural #6 baada ya kumuuza Jorginho, lakini km tutamkosa Rice bado kuna kiungo mzuri tunaweza kumpata Moses Caicedo. Ila kwangu priority ni Declan Rice jamaa anajua.DiMarzio kuhusu Rice:
Arsenal au Liverpool ndio mahali atakapoenda, Sidhani kama atahamia Chelsea kwani wana wachezaji wengi kwenye safu yao ya kiungo."
“Nina uhakika kwamba [Chelsea] watajaribu kumpata kama wanajua kwamba anakaribia kusaini Arsenal kwa sababu tu hawataki aende huko. Chelsea inanunua wachezaji kama mchezo na ni hali mbaya kwa sasa." View attachment 2564041
Saliba na hoding ni km Messi na Anthony.Kwanza nimpe Happy birthday Willo Saliba, ndio Kwanza anatimiza miaka 22
Hivi majeraha ya Saliba mbona haisemwi au atakuwepo after international break?
Tomiyasu yeye kafanyiwa Upasuaji
Maana pale Nyuma bila Saliba hatuwezi kabisa kuanzia mpira nyuma kwa kujidai
Nimeangalia mechi mbili tatu kwa umakini alizocheza Holding ,pale Nyuma tunaanza mipira mara chache Sana ,mara nyingi Ni kubutua au buildup itaanzia mbele kwa mbele
Mchezaji mmoja kumbe anaweza haribu system nzima
Mechi na Fulham walikuwa Wana press na wachezaji Hadi 6 na tunawatoka vzr bila shida ,ila Kama yupo holding lazima tutachoma kibanda tu
Angalia hapa Vs Fulham , Marco Silva hakuamini ,Pass Moja ya Saliba inaenda kwa Xhaka tunawaweka Goli
View attachment 2564068