Mbona nipohoya hamis77 umetekwa nini mnaua mtu huko bado ujitokezi tu.View attachment 2558288
Nyumbu timu huna ,nawaona mkigombea kufuzu EuropaNakumbuka walisema walisha qualify round off 16 mapema sisi tung'ang'ane play offs na akina Barcelonaaki naishiwa na nguvu
Leo wakati natizama game ya Yanga kulikuwa na Game ya MAN U pembeni, kusema kweli MAN U sijui wanacheza mpira gani yaan mbovu mbovu na unatia kizunguzungu kabisa!!
19 dhidi ya manyumbuPoints 8 clear
Unajinyea wewe, amka ndotoni..Kwa bahati mbaya timu anazozifunga arsenal kwa sasa ni zile zile ambazo huwa anazifunga kila msimu ijapokuwa round ya kwanza mwaka huu kidogo kaiproove kwa kuwafunga baadhi ya big four. Bahati mbaya waliyonayo mechi za mwisho mwisho watacheza na wanaume wa shoka ambao ndio wataamua ubingwa wao hivyo mashibiki muwe na tahadhari la sivyo watu wanaweza kuzimia.
Sasa nikwambie basi.. katika mechi 10 zilizobaki, Arsenal kazifunga timu 7 kati ya timu 10 walizocheza nazo kwenye mzunguko wa kwanza.Kwa bahati mbaya timu anazozifunga arsenal kwa sasa ni zile zile ambazo huwa anazifunga kila msimu ijapokuwa round ya kwanza mwaka huu kidogo kaiproove kwa kuwafunga baadhi ya big four. Bahati mbaya waliyonayo mechi za mwisho mwisho watacheza na wanaume wa shoka ambao ndio wataamua ubingwa wao hivyo mashibiki muwe na tahadhari la sivyo watu wanaweza kuzimia.
Nyumbu unaumia ukiwa wapiKwa bahati mbaya timu anazozifunga arsenal kwa sasa ni zile zile ambazo huwa anazifunga kila msimu ijapokuwa round ya kwanza mwaka huu kidogo kaiproove kwa kuwafunga baadhi ya big four. Bahati mbaya waliyonayo mechi za mwisho mwisho watacheza na wanaume wa shoka ambao ndio wataamua ubingwa wao hivyo mashibiki muwe na tahadhari la sivyo watu wanaweza kuzimia.
haya tuambie ni Kwanini ulitudanganya mtamfunga sporting Lisbon watu tukaweka kidau cha kutosha hafu mkafungwa na ukakimbia leo ndo unaonekana.Mbona nipo
Huon Moto huo ,halafu Nyumbu mpaka red 3 ndio mshinde hakika timu hamna
Pamoja na kubutua ila tumefanya haya.Niwe tu mkweli Arsenal tukipata hata draw tu naumwa maana sisi tumezoea kushinda tu
Nyumbu mnawezaje kuitazama mnavyobutua butua vile hakika mna roho ngumuView attachment 2558608
Arsenal hakufungwa dk 90haya tuambie ni Kwanini ulitudanganya mtamfunga sporting Lisbon watu tukaweka kidau cha kutosha hafu mkafungwa na ukakimbia leo ndo unaonekana.
Unajiongezea idadi ya mechi tu , ligi kuu EPL umeshaingia kugombea nafasi ya Europa LeaguePamoja na kubutua ila tumefanya haya.
Carabao cup tumeshinda
EPL. nafasi ya 3
FA semi final
Uefa ueropa quarter final
Haya tuludi kwako wewe wa kandanda Safi umefanya nini Mpaka Sasa.
Man U yuko nafasi ya 3, anagombaniaje nafasi Europa league.?Unajiongezea idadi ya mechi tu , ligi kuu EPL umeshaingia kugombea nafasi ya Europa League
Team zipi hizo zilizo bakia mkuu?Kwa bahati mbaya timu anazozifunga arsenal kwa sasa ni zile zile ambazo huwa anazifunga kila msimu ijapokuwa round ya kwanza mwaka huu kidogo kaiproove kwa kuwafunga baadhi ya big four. Bahati mbaya waliyonayo mechi za mwisho mwisho watacheza na wanaume wa shoka ambao ndio wataamua ubingwa wao hivyo mashibiki muwe na tahadhari la sivyo watu wanaweza kuzimia.
Hahahaha....wapewe manjesta.Good morning league leaders
Tunakumbushana tu malengo yetu ni kushinda mchezo unaofuata, kukusanya alama za kutosha na kumaliza juu ya table kisha kombe tunaomba wapewe manyuuView attachment 2558889