Miongoni mwa mashabiki wachache wa Arsenal wanaojielewa na wasiopenda unafki ni computerarsenal
Huyu jamaa timu ikiwa vizuri anasifia na kupongeza, na pale wachezaji au kocha wakizingua hua anawachana live, hanaga kurembaremba maneno timu ikifanya upuuzi.
Hongera sana computerarsenal mashabiki wa timu kubwa zote duniani wanakukubali, yaani kama kungekua na tuzo zozote zinazotolewa kwa ajili ya mashabiki bora hakika ungejinyakulia medani za kutosha.