Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Zinaweza zikatumyima furaha ya msimu mzima
Hizo game tunashinda comfortably kama game ya leo maana timu kuelekea mwishoni mwa msimu zinafunguka na hapo ndo watapoumia pona yao ni kucheza either 5-4-1/4-5-1

Sasa nataka chelshit waje na 3-4-3 yao EMIRATES waone aibu watayoipata
 
Chelshit pale kwao tuliwapigia mpira mkubwa na pass za haraka haraka Hadi huruma

Bado chelkenge hawana uwezo wakustahimili pale Emirates

Hawa chelkenge huwa ni vibonde wetu sikumbuki lini wametufunga
 
Chelshit pale kwao tuliwapigia mpira mkubwa na pass za haraka haraka Hadi huruma

Bado chelkenge hawana uwezo wakustahimili pale Emirates

Hawa chelkenge huwa ni vibonde wetu sikumbuki lini wametufunga
nyie n mbarara wadogo sana na nakuja kukupigia apo apo geto kwako na mm ndo ntakunyima kombe asenane
 
nyie n mbarara wadogo sana na nakuja kukupigia apo apo geto kwako na mm ndo ntakunyima kombe asenane
Sikumbuki lini ulitufunga

Tumekuwa tunakupiga nje ndani

Emirates unakuja kutoa Guard of honor
 
Tumekuacha points 30+ kujadiliana na wewe ni matumizi mabaya ya MB

bado huna timu ya kwenda Toe to Toe

Tumekuwa tunazibinya timu kukaa nyuma wiki kila wiki

So Jenga timu Kwanza ,
mimi ndo ntakunyima kombe nakwambia ww una tim ya kunifunga nikiwa fit utazan utamkuta malang sarr
 
πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„
Eti 'umeshawahi kusikia hat trick of assists? Muulize Leandro Trossard πŸ˜†πŸ˜†
Mwaka huu Gunners tuna mbwembwe Hadi raha
 
Kama kurudisha magoli dhidi ya bournemouth ni rahisi waylize liver, kama kushinda mechi baada ya kisago cha kupigwa wiki ni rahisi waulize manu...
Alafu unakuta mtu wa chelsea haoni hata aibu kubishana na mtu wa arsenal.....
One game at a time, mechi 11 zimebaki.... tano away sita nyumbani...
 
Unaongea upuuz ,Tumechukua FA cup ,Arteta anamfunga huyo Pep 2-0 Wembley ,tatizo mmeanza kuangalia mpira juz

Wewe mshabiki wa Chelkenge nafasi ya 10 humu unatafuta nn
Bit by bit ,

Tunaanza kucheza na City, kwa mtu wa mpira anaelewa. Mechi inayokuja City wanajua kazi iliyopo mbele yao na hawatoki! Timu inayokutana na Arsenal kwa sasa wanapanga wasifungwe na LFC tusitegemee atafunguka kama alivyocheza na Utd.

Mtu asifikri kuifunga Fulham ni rahisi. Wakati tunashangilia ushindi wa Afc Bournemouth walijua ni timu ndogo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…