Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Cjui kwann tukiwa home mara nyingi tunajua kama hatujiamin yaaan
Pressure ya mashabiki, mashabiki safari hii Wana mzuka sana na Team yao hadi wachezaji wanakuwa wanacheza kwa hofu pindi wanapokuwa Emirates

kwa kuhofia kuwaangusha Washabiki ambao wanashangwe mwanzo mwisho bila kujali matokeo lakini pia kama hiyo haitoshi wanakuwa na hofu na kuwaumiza moyo mashabiki wanaolipa viingilio vikubwa kuliko Team zote EPL
 
Exactly na hii ndo sababu tunakua kama hatujiamin alaf ukizingatia mafans wanakua na shangwe na vibe exercise
Inachangia pressure kuzid Kwa wachezaj
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…