Ndio alitufunga lakini hatukuwa kwenye position yoyote either ya big four au ubingwa ila nyinyi mpo kwenye position ya kuchukua ubingwa so lazima atataka kuwaharibia shughuli

As a team tumesharudi kwenye ubora wetu now unaona idea ya namna tunavyokaba, kumshambulia tofauti na Mwanzo, system ya team inapokuwa imara hata wachezaji nao wanaimarika