Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Kweli hakuna jipya chini ya jua, idea ya mpira wanaofundisha leo Pep / Mikel kwa asilimia kubwa imetokana na watu hawa, possession & offside trap na Rinus Michels' Ajax, Lobanovskyi's Dinamo kyiv, zonal marking and pressimg game imechangiwa na Arrigo Sachi's intermilan, Maslov Dynamo kyiv

 
Maumivu gani ? mbn una akili za kishamba wewe!
Mnamd
Maumivu gani ? mbn una akili za kishamba wewe!
Usimdhau Potter ni aina ya kocha ambaye anahitaji muda kaikuta chelsea ina injuries ya wachezaji 8 Ngolo Kante, Kovacic, Fofana, James, Chillwel, Mendy, RLC, Pulisic muda si mrefu akaletewa wachezaji wengi wapya dirisha dogo Enzo, Mudryk, Madueke,Bachishile, dafro Fofana,Jao felix ndugu wale wainjury wakaanza kurudi na kuna kundi jipya ndani ya kikosi ikaja issue ya kuwaungsnisha ndio maana unaona team ikapitia matokeo mabaya sasa hivi unaona anaanza kupata kikosi chake vizuri so Mudryk ni suala la muda utaona nae gari linawaka moto tu na Jana kacheza vizuri tu so usimuunderstimate kocha
 
Jesus is back (jcb)

Arsenal NDOO
Haaland kiatu

Mechi ngumu ilikua na Bournemouth ambae tulimpiga kamba 3
Aliempiga mtu wiki (7up) akalala chuma moja kwa Bournemouth

Sasa hawa waliobaki wote watatembezewa FIMBO tu
 
Mudryk naona ana kila kitu isipokuwa kocha mzuri
Ila kuna vitu inabidi mchezaji awe navyo mfano finishing na kupose threat

Mfano Kvitcha, Saka au Mitoma wanapose threat coz wanaweza fanya vyote kuscore au kuassist mpaka sasa rekodi ya Mudryk alipotoka na sasa ninavyomuona ni assistor mzuri kuliko finisher hiyo haijalishi atakua coached na nani
 
Mchezaji bado hajatoa assist wala goli anatakiwa kunifikirisha? Unajua Trossard kafanyaje huo muda huyo dogo anakalia benchi?
Mbona katoa Jana assist au hukucheki game yetu ya Jana na akafunga goal likakataliwa ingawa kwa jinsi nilivyoiyona goal lilikuwa halali kabisa
 
Trossard amerudi.

Odegaard yupo pia.

Vieira is good tactically ila mechi ikihitaji physique anakua bullied mno, ananikumbusha Guendouz he had a desire na fighting spirit ila alikua hovyo kwa kila kitu
 
Kuna watu wanakwambia Tuna kikos finyu

Arsenal Bench today: Matt Turner, Tierney, Nelson, Vieira, Jorginho, Jesus, Smith Rowe, Tomiyasu & Holding

With Eddie & Kiwior still to come🀲
 
Nafikiri CB partnership ya leo kwa Fulham is brilliant full backs wao wako partnered na wings ambazo wote wana pace so if it clicks kama kwenye paper wanavyotaka they will be more of a threat going forward.

CM wao ambaye naona yupo serious na kazi ni Lukic, its just that Partey is so good that mid nyingi knelt before him so hata huyu akifunikwa its fair but siyo mbaya.

Martinelli hua anapress so nafikiri atamsaidia vizuri Zinchenko, Reid ni msumbufu na Mitrovic ni finisher mzuri.

Sioni Fulham akienda toe to toe na Arsenal so ni atarely kwenye counter na kupaki basi. Odegaard kama ameamka vizuri siyo mvivu kushut nje ya boksi same kwa Trossard na Partey.

Mpinzani akichoka then its fair akaingia Emile he is usually good akiingia kama sub so sioni leo akishindwa fanya jambo.

As usual Arsenal kushinda siyo habari, habari ni Arsenal kufungwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…