Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal kumbe ndo inavyouma hivi mbona mkusema mapema tuandae roho za simba.
 
Huyu ETH ana mdomo Sana ,tulienda OT pale Kiungo Lokonga , akatufunga kwa kaunta tu ,na sio kwamba alifanya total dominance

Ila aliongea shombo Sana
 
Ni ujinga au ni kitu gani hiki..Yaani zikiongezwa dakika 6 maana yake ni 6:59???? Mmesoma wapi nyie watoto wa asenane?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…