Kumbe kasema!? πππ Arsenyani banter kidogo tu mnaanza matusi.nyamanolokwetu kasema Mpaka sasa hivi wamebaki mashoga tu ndiyo hawaamini Arsenal itabeba ubingwa
Basi usikasirike.Kumbe kasema!? πππ Arsenyani banter kidogo tu mnaanza matusi.
Hayo maneno yanaweza kutoka kwa mtu tu ambaye akili yake haipo sawa.
Tulia wewe!Kumbe kasema!? πππ Arsenyani banter kidogo tu mnaanza matusi.
Hayo maneno yanaweza kutoka kwa mtu tu ambaye akili yake haipo sawa.
Msimu Aston Villa aliompiga Liverpool 7-2 ni 2020/21 siku hiyo alianza United kufungwa 6, Liverkuku wakafurahi sana baadae kibao kikageukia kwao.Kwani yeye kaweka matokeo ya mwaka gani!??[emoji16]
Arsenyani siwapendi kinoma hasa msimu huu mlivyotunyanyasa pale Emirates π banters lazima ziendelee.Tulia wewe!View attachment 2537712
Kwahiyo unataka kusema nini kwa mfano?Msimu Aston Villa aliompiga Liverpool 7-2 ni 2020/21 siku hiyo alianza United kufungwa 6, Liverkuku wakafurahi sana baadae kibao kikageukia kwao.
Mechi Liverpool aliyompiga Bournemouth 9 ni ya msimu huu na The Cherries ndiyo timu mbovu kwenye ligi ila Arsenyani wame-struggle kupata points 3 tena wakitokea nyuma ya bao 2.
Usifananishe Saka na mbakaji
Acha kuifanisha Asernal na Wala ugali na sukarimmmnh hii arsenal moto mwengine.....inatisha kama Yanga
Mwanzo wa msimu tulikuwa hatupo serious. π Nyie nawataka Europa kuwafunga tu midomo.Kwahiyo unataka kusema nini kwa mfano?
Haya turudi raundi ya kwanza msimu huu kwenye mechi ya Brentford vs Man Utd, 1st half mlikua mshakula chuma 4. Mpaka mpira unaisha mmekula hizo hizo 4-0.
Wakati huo huo Arsenal alimbamiza Brentford 3-0 pale pale kwake.
Vipi hapo unasemaje mkuu, au tuchambue na mechi ya Brighton!πππ
kabisa wala hujakoseaArsenal ni yanga mtupuu
uzi upi wa kiatu amaaaa[emoji847]Uzi tayari
ulitaka niifananishe na timu ya wala pension?Acha kuifanisha Asernal na Wala ugali na sukari