Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Ebwana eeh hii ndiyo najua hapa kwamba CF ni AM.
AM ni general, anaweza kutokea pembeni kama winga hasa zile formations ambazo hazitumii winga ndio wale wa pembeni wanaitwa AM. CF anaweza kuwa AM lakini sio kila AM ni CF. Jina zuri la CF ni CAM

CF kama neno linavyosema lazima atokee katikati
Mfano kwenye 4-2-3-1 ambayo Potter anaitumia sana CF ni Felix ambaye anatokea katikatiu kuwalisha mipira hasa no. 9 ikishindikana anawapa mipira winga ili attack itokee pembeni
 
Najitaid kusoma na kurudia mara kwa mara nakua mgumu kuelewa hili
 
AM ni general, anaweza kutokea pembeni kama winga hasa zile formations ambazo hazitumii winga ndio wale wa pembeni wanaitwa AM. CF anaweza kuwa AM lakini sio kila AM ni CF. Jina zuri la CF ni CAM

CF kama neno linavyosema lazima atokee katikati
Mfano kwenye 4-2-3-1 ambayo Potter anaitumia sana CF ni Felix ambaye anatokea katikatiu kuwalisha mipira hasa no. 9 ikishindikana anawapa mipira winga ili attack itokee pembeni
ngoja niseme ninavyojua

AM ni Attacking Mid, hata ukimuita Central Attacking Mid bado unammaanisha huyu huyu.

Mid anayetokea pembeni zamani walikua ni LM (Left Mid) na RM (Right Mid) hawa kwa kawaida hua na speed na mpira wa sasa umewaconvert, wengi wamekua mabeki mfano Davies, wengine Wingers mfano Grealish na wengine AM mfano Emile.

CF ni mchezaji ambaye atacheza role ya False 9 kwenye 4 3 3, they are great with ball, power, skills na accuracy mfano Benzema, Balogun na Jesus. Wakati ST yeye ni pale tu kwenye boksi hajisumbui kurudi juu huyu hata kucheza naye 1,2 ni mtihani na hawako vizuri kwenye passing mfano Haalanda, Nketiah.

Pia kuna SS (Second Striker) kwakua ST strength yake kubwa ni kuscore SS kazi yake inakua kudraw out defense na kumpa nafasi ST ya kuscore.

Logically sioni ni kivipi Centre Forward awe Attacking Midfielder ingawa CF anaweze shuka kwenye line ya AM na kusaidia mashambulizi bado sidhani kama ni sawa CF kua AM 100%
 
Xhaka yupo kama hayupo hatumsikii sasa ila ipo siku na lile shoto lake atakuja kupiga goli la mbali ..
 
ngoja niseme ninavyojua

AM ni Attacking Mid, hata ukimuita Central Attacking Mid bado unammaanisha huyu huyu.

Mid anayetokea pembeni zamani walikua ni LM (Left Mid) na RM (Right Mid) hawa kwa kawaida hua na speed na mpira wa sasa umewaconvert, wengi wamekua mabeki mfano Davies, wengine Wingers mfano Grealish na wengine AM mfano Emile.

CF ni mchezaji ambaye atacheza role ya False 9 kwenye 4 3 3, they are great with ball, power, skills na accuracy mfano Benzema, Balogun na Jesus. Wakati ST yeye ni pale tu kwenye boksi hajisumbui kurudi juu huyu hata kucheza naye 1,2 ni mtihani na hawako vizuri kwenye passing mfano Haalanda, Nketiah.

Pia kuna SS (Second Striker) kwakua ST strength yake kubwa ni kuscore SS kazi yake inakua kudraw out defense na kumpa nafasi ST ya kuscore.

Logically sioni ni kivipi Centre Forward awe Attacking Midfielder ingawa CF anaweze shuka kwenye line ya AM na kusaidia mashambulizi bado sidhani kama ni sawa CF kua AM 100%
Umechanganya mafaili
kwa CF ni strickly mchezaji anaye feed mipira kwa strikers, lazima awe nyuma ya striker. Kutegemeana na filosofia ya kocha na mfumo anaoutumia, false no. 9 anaweza kuwa CF, CAM anaweza kuwa CF ila Striker a big no. CF anakuwa versatile na kucheza deep zaidi ya striker ambaye yeye anakuwa golini kusubiri mipira amalize kazi ya kuweka kim iani.
Kwa Second striker kuna natural na acting, wachezaji wote wanaokaa nyuma ya striker akiwemo CF ni wana act kwenye nafasi ya second striker ila kama tunazungumzia formation zenye striker wawili basi mmoja ni striker OG na mwingine ni second striker na sio acting
Kwenye AM unaweza ukawa sawa japo nako kuna consfusion. Kwa formations nyingi wale mid wa pembeni wanashambulia na kudefend kama wanavyofanya wing-backs.

Tatizo kubwa kwenye haya majina hakuna harmonization, kila kundi likiibuka na definition yake, sio tu kwenye CF hata kwenye position zingine.

Mfano ukienda Wikipedia wametoa tafsiri za ajabu ajabu kwenye hizi nafasi mbalimbali za kwenye soka, wao wanamuita Foward kama Striker wakati Foward ni mchezaji yeyopte aliye kwenye idara ya ushambuliaji wakiwemo wingers, strikers mwenyewe na mid wa kushambulia, wote hao wanaitwa Forwads.

Hizi references zitasaidia sana kuwatofautisha
 
Hizi referneces zitasaidia sana kuwatofautisha
Kwa mfano SS ili awepo inabidi formation iwe na Attackers 2 yaani formation iwe 4 4 2 au 4 3 1 2 au 3 4 1 2

Kwa hizi formations za 4 3 1 2 na 3 4 1 2 hii 1 ndiyo AM na hiyo 2 atakuepo ST na SS, tukifuatisha hoja yako yaani hapo ni unamaanisha hiyo 1 iwe CF halafu hiyo 2 ndiyo awe ST na SS.

Ukisema kila mchezaji anayekaa nyuma ya ST awe SS this means kwenye 4 3 1 2 au 3 4 1 2 hii 1 naye ni SS in such a case hapo AM atakaa wapi? Na hapo hapo una ile hoja uliyosema CF ni AM.

Huoni kama tukitumia hoja yako kuna mchanganyo hapo?
 
Kumbuka sio kila formation ina kila nafasi, kuna nafasi zingine zinapotea kulingana na formation na falsafa kocha anayotumia
Mfano 4-3-1-2 inatumia strikers wawili, CAM (CF) na CM watatu, hii formation haina wingers
3-4-1-2 inatumia strikers wawili, CAM (CF) na CM wawili na wing-backs, hii formation pia haina wingers

Halafu kumbuka kuwa CF sio official position, Hata AM sio ofocial positions kwa sababu AM ni too much general. kwenye mpira oficial position ni
GK, CB, LB, RB, LWB, RWB, CM, CDM, LM, RM, CAM, LW, RW, FALSE NO. 9, ST. (Nafikiri sijaacha nafasi muhimu. Zinazoongezeka kwenye hizi ni kuelezea tu nafasi zile zile kwa maneno mengine
Mfano
FOWARD - (CAM, Wingers, Strikers)
CENTER FOWARD (CAM)
 
Wewe haupo sawa kichwani ,najua ARV zina side effects kubwa

Huwa nawashangaa Sana wanaohangaikaga kukujibu wewe ,

Unajionaga upo sahihi ila kwa jicho la 3 tunajua tatizo Nini

Mimi naacha kukujibu na wewe naomba usini qoute
Lazima ukimbie huu uzi
 
Man united ndio timu inayoongoza kupaki basi kwenye ligi, lakini pia ni miongoni kati ya timu dhaifu kwenye kigezo cha kuutafuta mpira kwa nguvu na haraka.
IMG_20230304_164746.jpg
 
Back
Top Bottom