Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Hivi kumbe kwa Mara ya kwanza ktk maisha yake ya ukocha Pep Guardiola... Alimiliki mpira kwa 36% tu pale Emirates?
Hafu matokeo mechi ikaishaje? na lengo la kwenda uwanjani ni kusaka nini?
 
Hafu matokeo mechi ikaishaje? na lengo la kwenda uwanjani ni kusaka nini?
Leta msimamo , sisi tunaangalia zaidi progress ya timu inatoka wapi inaenda wapi hatuangalii matokeo tu

Matokeo mazuri ni mchakato wa muda mrefu

Mwanzo wa msimu tuliposema tunagombea ubingwa mlituona Kama wendawazimu lakini sababu tunajua performance ya timu yetu ingawa unakuta imefungwa tunajua mechi zijazo tutashinda
 
Arsenal boss Mikel Arteta:

"I am a very methodical, routine person. When we are winning, I don't like to change my clothes, I like to maintain exactly the same jumper, trousers and shoes as before. If we lose, I change to something different."View attachment 2536357
IMG_20230303_191034.jpg
 
Naandika hapa kwa mara ya mwisho.

4 3 3 false 9 inahitaji wachezaji sahihi kwa sasa Arsenal hatuna CF wa kufit hapo zaidi ya Jesus, Nketiah hawezi anafaa kwenye 4 2 3 1. Bila Jesus 4 3 3 inatufanya tuwe dominant ila siyo constant threat.

Idea ya kumuweka Trossard au Martinelli kama CF ni sahihi kwakua hawa wawili wanalink up play vizuri kuliko Nketiah.

Hua mnatumia nini ili kuelewa?
Sawa mkuu. Ahsante kwa ufafanuzi
 
Carragher juu ya biashara kati ya Arsenal na Man City!

Carragher " Manchester City hawatarudia kuwauzia Arsenal Wachezaji, Zinchenko kuuzwa Arsenal ilikuwa ni biashara ya kirafiki baina ya Pep Guardiola na Mikel Arteta!

Pep alijua Arsenal watakuwa wakawaida tu hakujua anatengeneza Arsenal kuwa tishio kwake".

Jamie Carragher mchezaji wa zamani wa Liverpool!
 
Achana na Gabriel Jesus nitajie false9 Bora kama Trossard.

Against Leicester City alifanya ufundi uliopitiliza anauwezo wa ku swept to the left halafu Martinelli anasogea Kati Banga! Kambaaaaa..

hapa opposition defenders wanashindwa marking na inakuwa rahisi kuwaadhibu.View attachment 2536338
Zinny kwenye hii picha alikuwa na options kibao za pasi daaah. Angemuona Martinelli na kumpa reverse pass, kuna Ode sijui hapo kati karibu na Saka, kuna mtu free kule namba 11...hiyo pass Kwa Saka tena inaonekana ndiyo ilikuwa pass ngumu Kwa sababu ya positions za mabeki ila ndiyo hivyo tena.....Kambaaaaa
 
Thus why Arsenal inajiamini kwenye mbio za kumnasa Declan Rice

Official: Moises Caicedo has signed new deal with Brighton valid until June 2027 with an option for further season #BHAFC

It will include a significant pay rise for Caicedo.

Brighton have turned down £55m from Chelsea and £70m from Arsenal last January.
Sijajua kwa nin mawazo yangu yalikuwa sana kwa caicedo kuliko yalivo kwa rice, nahisi itakuwa mahaba tu
 
Sijajua kwa nin mawazo yangu yalikuwa sana kwa caicedo kuliko yalivo kwa rice, nahisi itakuwa mahaba tu
Mchezaji kusaini mkataba ni formalities tu na haimaanishi hataki kuhama. Usupumbazwe na hili. Caecedo kasaini mktaba ili awe kwenye safe side. Inaweza kuwa terms mpya za mkataba zinamnufaisha yeye akiendelea kuwa Brighton au akiuzwa. Huo ndio mpango kamili. For me Caicedo ni mzuri kuliko D Rice
 
Naandika hapa kwa mara ya mwisho.

4 3 3 false 9 inahitaji wachezaji sahihi kwa sasa Arsenal hatuna CF wa kufit hapo zaidi ya Jesus, Nketiah hawezi anafaa kwenye 4 2 3 1. Bila Jesus 4 3 3 inatufanya tuwe dominant ila siyo constant threat.

Idea ya kumuweka Trossard au Martinelli kama CF ni sahihi kwakua hawa wawili wanalink up play vizuri kuliko Nketiah.

Hua mnatumia nini ili kuelewa?
CF sio striker wala no. 9. Huwa watu wanaconfuse sana. CF ni kiungo mshambuliaji anawewalisha mipira striker au wingas. Hii ndio maana halisi ya center forward. Hii inafaa zaidi kumuita CAM
 
Mchezaji kusaini mkataba ni formalities tu na haimaanishi hataki kuhama. Usupumbazwe na hili. Caecedo kasaini mktaba ili awe kwenye safe side. Inaweza kuwa terms mpya za mkataba zinamnufaisha yeye akiendelea kuwa Brighton au akiuzwa. Huo ndio mpango kamili. For me Caicedo ni mzuri kuliko D Rice
kabisa aseeee caicedo kwangu ni bora zaidi ya rice
 
Mchezaji kusaini mkataba ni formalities tu na haimaanishi hataki kuhama. Usupumbazwe na hili. Caecedo kasaini mktaba ili awe kwenye safe side. Inaweza kuwa terms mpya za mkataba zinamnufaisha yeye akiendelea kuwa Brighton au akiuzwa. Huo ndio mpango kamili. For me Caicedo ni mzuri kuliko D Rice
Lakini tambua tayari ni ngumu kumtoa hapo

Kama January hii walimbania kuondoka , na Sasa kajitia kitanzi ,sio rahisi kuuzwa kwa hivi karibuni

Nimeona taarifa nyingi timu zimeanza kupigana vikumbo kwa Rice , maana Bellingham haieleweki anaenda Madrid au Liverpool wataweza kumpata
 
Zinny kwenye hii picha alikuwa na options kibao za pasi daaah. Angemuona Martinelli na kumpa reverse pass, kuna Ode sijui hapo kati karibu na Saka, kuna mtu free kule namba 11...hiyo pass Kwa Saka tena inaonekana ndiyo ilikuwa pass ngumu Kwa sababu ya positions za mabeki ila ndiyo hivyo tena.....Kambaaaaa
Overview yake hii hapa

Hapo Kuna Overload Kuna Positional play

Wachezaji 6 wameenda kushambulia

Kuna mbadilishano wa position

Zinny amekuwa no.10 kuungana na Odegaard

Saka kaingia kwenye box kuchukua nafasi ya Trossard

Martinell kachukua nafasi ya saka

Trossard kachukua nafasi ya Martinell

Beki wa Everton Mykolenko na wenzie walikuwa wana mtarget saka na Martinell

Baada ya position play walichanganyikiwa wasijue wamkabe nani
IMG_20230304_101146.jpg
 
ILA WACHEZAJI SIO WAKUWAAMINI ,ALILIA HADI KUANDIKA MITANDAONI LEO KASAINI MKATABA MPYA

𝐎𝐅𝐅𝐈𝐂𝐈𝐀𝐋 | Moisés Caicedo has signed a new long-term contract with Brighton until 2027. There is also an option to extend for an additional year.
Huyu mjinga huyu kama Douglas Luiz tu, angetulia akalinda kiwango summer tungeweza rudi ila ndo atazeekea hapo kama Richarlison.
 
Lakini tambua tayari ni ngumu kumtoa hapo

Kama January hii walimbania kuondoka , na Sasa kajitia kitanzi ,sio rahisi kuuzwa kwa hivi karibuni

Nimeona taarifa nyingi timu zimeanza kupigana vikumbo kwa Rice , maana Bellingham haieleweki anaenda Madrid au Liverpool wataweza kumpata
Wachezaji wote wazuri, wachanga kama Caicedo ni wagumu kumtoa lazima ukavunje benki wacheni ubahili ndugu. Hizi timu kama Brighton ubingwa wao na trophoies zao ni kununua wachezaji na kuwauza kwa bei nzuri. Mchezo unaochezwa kwa Caicedo ndio huo. Kumpa Caicedo mkataba mpya na motisha nzuri ni kama kumpoza ili acheze kwa moyo maana aliashavunjika moyo kuzuiliwa kwenda Arsenal au Chelsea ambapo aliamini kule angebeba makombe, angelipwa vizuri na jina lake lingepaa zaidi. Hata Enzo walikuwa wanajiandaa kumfanyia hivyo hivyo kama asingeuzwa wangempa mshahara bora zaidi na mkataba wenye motisha zaidi. Mimi sioni kama Caicedo au Brighton wamefanya kitu kipya hapo. Mkimtaka Caicedo Summer mtamchukua tu ila sio kwa bei rahisi kihivyo
 
Back
Top Bottom