Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Bro unapojiuliza kuhusu Mudryk kupata game time Arsenal, inabidi ujiulize pia kwanini Arsenal waliweka kipengele akishinda Ballon dor watalipa add ons?, hiyo inatosha kum describe ni mchezaji wa level ipi kwenye jicho la Mikel Arteta. Moja ya wachezaji nilijisikia vibaya kumkosa.
 
Baada ya kushindwana dirisha la usajili next transfer Aouar alishuka bei mpaka kwenye 10+ hivi na kipindi hicho ilikua bado inatafutwa nani ataweza vaa viatu vya AM. Emile na Martin ndo walikua wanatestiwa, Aouar dau limeshuka na ni AM tayari anayejulikana ila Arsenal haikurudi tena.

Na mimi ndivyo ninavyojua kwamba mtu akichagua kutokuja hua hatumfuati tena. Case study kubwa kabisa ni Zaha jamaa hadi aliweka video online anaitaka Arsenal ila ndiyo basi tena.
Housem Aour yupo free Summer hapo
 
Ndo wakome kuringa sasa.
 
Mkuu hivi vipengele ni vinawekwa pia kutia ugumu baadhi ya malipo. Martial wa United na yeye ana kipengele cha Ballon D'Or lakini mi naamini Martial hatokuja ipata Ballon D'Or.

Mudryk siyo mbaya, ila angekua na kazi ya kumnyang'anya namba best shooter wa Arsenal na kwa games nilizomuona Mudryk mimi naona anazidiwa finishing na front three yote ya Arsenal.
Ila angekua mzuri kutengeneza nafasi.
 
Kwaiyo hakuna room ya Caicedo Summer?
 
Martial wakati anaanza Career alikuwa na potential ya kufika mbali, Martial alionekana Monacco kabla ya Mbappe, kinachoangaliwa ni potential ya mchezaji ilu kuweka hizo add ons,

Mbali ya Edu & Arteta kuona potential ya Mudryk, Roberto de zerbi pia alizungumzia ishu ya ubora wa Mudryk na kuwin Ballon Dor, System anzotumia Potter zisikufanye ukadhani ni mchezaji wa kawaida, kwa profile yake he would be very special under Mikel, mfano Rashford chini ya Ralph rangnick alikosa game time kwa kuonekana ni average player, PSG wakaendelea kumuhitaji cuz waliona ana sifa za kufika mbali, mwaka haujaisha now yupo ETH, nani anamkataa Rashford tena?
So Mudryk ni winger mwenye uwezo wa ku dictate Attacks like Saka, pace with 1v1 quality, penetrative runs, creator, ball striking both feet,.he is unstoppable under a good manager.
 
Zinchenko sio LB, ni mchezaji asiye na majukumu zaidi ya jukumu moja la ku create chaos kwenye game ili Wapinzani washindwe kucheza, that's Y hata akiwa exposed au akifanya silly mistakes kwa upande wake LHS hakuna kulaumu, He's so important, ni km mchezaji anaye create dynamism kimfumo ilimradi timu isieleweke inachezaje pattern zake. I feel sorry for KT.

"When i felt bored in the game vs United i passed the ball to Anthony and then took it back" ~ Oleksandr Zinchenko
 
Ni kisha kisha kishs formation ibadilike nte nye nye nyeee. Hii ndo maana yake ndugu kocha
Naandika hapa kwa mara ya mwisho.

4 3 3 false 9 inahitaji wachezaji sahihi kwa sasa Arsenal hatuna CF wa kufit hapo zaidi ya Jesus, Nketiah hawezi anafaa kwenye 4 2 3 1. Bila Jesus 4 3 3 inatufanya tuwe dominant ila siyo constant threat.

Idea ya kumuweka Trossard au Martinelli kama CF ni sahihi kwakua hawa wawili wanalink up play vizuri kuliko Nketiah.

Hua mnatumia nini ili kuelewa?
 
Upo sahihi.

Hebu check rekodi ya magoli ya Mudryk. Kisha angalia jinsi anavyocheza, anafanya hayo yote lakini finishing yake siyo kubwa na kwavile hatuna reliable ST kwa sasa kocha angerisk kumpa namba Martinelli over Mudryk kwenye game as Martinelli hashindwi kukupa magoli pia.

Mfano Mudryk pale pale alipo wakija na ST mzuri hivyo vyote anavyofanya will worth a fortune that Chelsea spent on him, ila kwa sasa anaonekana bado ana deni. Coz ana pace, haogopi kuingia kwenye boksi, mzuri kwenye tight space, ball striking ability anayo ila bado anaonekana hamna kitu anafanya
 
Naona Fabio Vieira anakuja vizuri kwenye role ya LCM. Xhaka akae mkao wa kula.

Fabio ni mwepesi sana na yuko more flexible. Najua Arteta anafikiria kumpa more game time.
Ile game dhidi ya Villa kuna counter ilipigwa Vieira hakucommit kwa mchezaji mwenye mpira badala yake akawa anarudi huku anazuia pasi isipigwe.

Alipoona Saliba kafika akacommit kwa mchezaji. Dakika kadhaa mbele yeye ana mpira na yupo na Martinelli wanatengeneza kaunta, mchezaji wa Villa akakimbilia kucommit kwa Vieira.

Vieira akacreate situation ambayo yeye ametoka kuidefend ikatupa goli la Martinelli
 
Chelkenge wanamwita 007, zero goal zero assist in 7 games.
 
Yani wewe jamaa sijui una hofu gani na sisi Manchester yani wa nyuma yako ni city lakini muda wote unatuwaza Manchester tu
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…