Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Mkuu we acha tu... Hii ligi inatuweka roho juu sana.

Mkuu na kipigo kingine pale nyumbani kwenu Old Trafford next week ndiyo roho zenu zitapaa kabisa.
 

Hongera homeboy.....huyu mtoto tutamsajili Chelsea!
 
Kuna kipindi hawa jamaa wa supersport wamemuonesha sir Alex ameinama km anacheza makhirkhiri hadi nkamuhurumia!
 
Mkuu na kipigo kingine pale nyumbani kwenu Old Trafford next week ndiyo roho zenu zitapaa kabisa.

Acha nuksi BAK mana ikiwa hivyo tutapaa kweli...yani tukifungwa next week nachukua likizo JF ya mwezi mana itakuwa ni 'humiliation' ya kutosha...lol
 
Chizi wewe! Teh teh teh kula raha ushindi una raha nevertheless nawakumbuka Bolton!

Hahahahaha we mchokozi sana! Pamoja na kukusafishia njia ili mchukue tena kwa mwaka wa pili mfululizo, lakini bado unaturushia vijembe tu! πŸ™‚ Haya Mkuu tenda wema wende zako........
 
Mbu nakuona kwa mbali karibu sana, hawa wanoko walichonga sana kabla ya mpambano chacha wote wameunyuti kasoro ... ... oooops no one.
 
Reactions: BAK
Usishangae kwa utashi wake akaja kuwa shabiki wa Man Utd.......lol
Mkuu mbona itakuwa ajabu,kwetu sisi huchanjwa chale na kunyonya damu utimizapo miaka 6,kuwa nitailinda na kuiheshimu timu yangu ya Arsenal.Hii ni kutoka generation yangu iliyopita na ijayo.
 

Hongera sana Mkuu kwa kupata dume la mbegu. Poleni kwa kutolala usiku ndiyo raha ya uzazi lakini baada ya muda si mrefu kutakuwa na ahueni kubwa sana.
 
Mbu nakuona kwa mbali karibu sana, hawa wanoko walichonga sana kabla ya mpambano chacha wote wameunyuti kasoro ... ... oooops no one.

Jamani mbona tumewapongeza kwa roho safi kabisa...wewe ni mchokozi kweli kweli, kasoro BJ nakusanya maneno yako!!
 
Hongera sana mkuu kwa kupata mtoto na Mungu awakuzie salama.

Safi sana mkuu na pole kwa majukumu sie tutakuwakilisha hapa. Hio stage nailewa ngumu sana na inaitaji uvumilivu. Kila la kheri mkuu.
 
ha ha Naona umeshamwagiwa thanks kama mcheleπŸ™‚) bwana eeh mtuhurumie next week nyie Chelski!!..msitufanye karamu!!

khe khe kheeeeeeeeeeeeeeee nilikwambia hama timu mwaka huu mnaweza kutoka mfuto ati lwa sababu mechi yenu na Chelsick wamewakamia kwa maumivu ya CL na Abraham O Vich nasikia kaandaa mpunga wa kutosha khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
 
ha ha Naona umeshamwagiwa thanks kama mcheleπŸ™‚) bwana eeh mtuhurumie next week nyie Chelski!!..msitufanye karamu!!

Umeona eeh! BJ! Wana GUNNERS tumemmwagia gunia zima la thanks hahahahahaha...anachekelea ile mbaya πŸ™‚
 
Usishangae kwa utashi wake akaja kuwa shabiki wa Man Utd.......lol

Mkuu umenichekesha sana, dogo mie hapa masela kila siku wakija wanamzingua sio na mimi nimemshatambulisha jezi za arsenal kwahio akiona game tu anatambua yuko upande wangu.

masela wakija wananipigia dogo huyu akishapata akili zake atajua tu kwamba dingi amenipoteza na ataamia man united lol.
 
Ooops kumbe BJ upo sikukuona safari hii hata maua yamekauka .. .... ......
 
Reactions: BAK

Mkuu hongera sana, malezi mema wewe & Mrs. ni experience nzuri sana!!..Karibu tena kwa JF Sports!!
Pia huyo bby boy asiwe mshabiki wa Arsenal mana atapata presha mapema ya kujitakiaπŸ™‚) najua mtakataa lakini ndiyo kati ya gharama za kushabikia gunners...ha ha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…