Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Positional Play ya Arsenal ( time and space ) : ndio ilimfanya Zinchenko awe kwenye right sided namba 10 , Martinelli baada ya kuachia pasi akaenda nafasi ya Saka na Saka akaingia ndani kama straika kwenye penalty box .

POSITIONAL PLAY kwenye ubora wake

 
Siku hizi timu nyingi hazitukabii kwa high line tumekua wazuri kwenye kupasi na kukaa kwenye njia kitu kimoja tulichobakisha ni wingers wetu kua finishers zaidi ya sasa

Game dhidi ya Leicester, dakika ya 16 Jorginho anapiga thru ball nzuri ndefu inamkuta Saka lakini Saka akawa anasubiri wenzake wajae. Prime Salah/ Roben alikua anaingia kwenye boksi na kujaribu kucut in na kuscore.

Kuna chip pass moja Partey alimsukumia Nketiah game ya jana, Nketiah akauwahi mpira vizuri bahati mbaya kipa alishatokea. Katika shooting tunasema ni bora ulenge target kuliko utoe mpira nje kabisa. With that sense kosa ya Nketiah inatia matumaini kuliko kosa ya Odegaard dhidi ya Villa.

At some point hua najiuliza vipi kama Mudryk angekuja? Angeweza kumuweka bench Martinelli? Na hivi hatuna Carabao wala FA.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…