Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Ligi gani hiyo imeanza NOVEMBER?

mbona mnapenda kujitoa ufahamu?
Mpira Mzuri FC kila siku kazi kuchambua mechi mlizoshinda kwa kigoli kimoja. 😂

Hizo ni data tu, ni kama vile zinavyotoka data kuwa Rashford ndiyo winger/striker bora after World Cup.
 
Unaongea kishabiki sana
Ni ukweli ambao mashabiki hamtaki kuusikia

Mbona hata moyes ,alichukua taji mkamtimua
Vipi Mourinho ambaye alibeba matatu ,si mliishia kumtimua


Kwasasa mnatembea na individual brilliance za rashford ,na juhudi za Degea
Baada ya mwezi rudi hapa maana mshaanza mapambio mnabeba makombe yote
 
Tomiyasu:

“We are a young squad and I feel like I’m part of the family. I remember the game against Man City at home I made a mistake and I gave them the first goal, but after that everyone came to me and just told me to keep my head up. They helped me a lot.”
 
Gabriel + saliba this is the best centre back combo.
•physical strength yao iko level ya juu sana
• wana tactical awareness kubwa mnoo very smart wanapokua na mali pia great passer.
HUU UKUTA STRONG ENOUGH
UNAPITA UPEPO TU
#COYG
 

Msimu ulioisha walikua wanashangilia clean sheets, halafu hizohizo clean shit zao walizokua wanazishangilia zikaishia kuwapeleka Europa na Spurs kiulaini akaenda UEFA.
Msimu huu wanashangilia possessions na kuingia ndani ya box mara nyingi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…