Caicedo na Rice inawezekana wote kwa pamoja???? Au ni ongezeko la mmoja tu?As per @David_Ornstein
, Arsenal summer targets COULD include a holding midfielder,
full back and
maybe even a center forward
Acha kulialia, watu wanaifunga Barcelona na wako kimya wewe unaifunga Leicester unaandika kwa capital bold letters!!! Ujinga utaacha lini? hamis77
Tukifanikiwa kushinda zote tunakuwa na 80% ya kuchukua ubingwa.Hakuka ku drop points had mechi ya 32 Kisha tutaona tukatangaze ubingwa mechi ipi katika zile 6 za mwisho
View attachment 2530498
Tuwekee msimamo kama unavyo wekaga.Acheni kulialia, msitegemee sana VAR fungeni magoli ya akili kama ya Rashford hamis77
Ni mmoja tu ila wote wazuri, mmoja lazima ataenda Chelsea, nahisi Caicedo Cuz Chelsea hawana natural 6 baada ya kumuuza Jorginho.Caicedo na Rice inawezekana wote kwa pamoja???? Au ni ongezeko la mmoja tu?
Rice, Frasneda, Toney, Uefa tunafika semi final au final kabisa.As per @David_Ornstein
, Arsenal summer targets COULD include a holding midfielder,
full back and
maybe even a center forward
Upande wa kuliafull back and
Will Jr tafadhali njomba.Willy Jr
Kuna Jambo uliwahi kusema kuhusu Ku control mechi kwa Partey sikukuelewa kipind kile nadhan hukuwakilisha vzr maelezo yako
Partey ana sifa nyingi Sana kumzidi JoJo ,but nimekuja kugundua ukiwa na JoJo unaweza kukamata mechi kwa muda mrefu kuliko Partey
Partey anauwezo wa ku cover Large area , press resistant hii pia JoJo anayo ,
Naomba uwaelezee hawa viungo mafundi wawili
Mech zote anazokuwepo JoJo nimeona tuna % kubwa ya kuitawala muda mrefu Tena kwa 70% possession
Caicedo naamini hatuwezi kumpata tenaCaicedo na Rice inawezekana wote kwa pamoja???? Au ni ongezeko la mmoja tu?
Ataenda kwa tajiri miluzi.Caicedo naamini hatuwezi kumpata tena
muddy imeniuma sana aseee namuelewa sana yule mchezaj angekuwa chini ya arteta angeimprove sanaKama Muddy, ona sasa hata Europa hatacheza.
Toka day one hana furaha hata yeye ila wenye timu waliangalia pesa mbele.muddy imeniuma sana aseee namuelewa sana yule mchezaj angekuwa chini ya arteta angeimprove sana