Arteta kamtesa tu Trossard kucheza kama false nine amrudishie Nketiah tu mbele hakuna madhara yoyote huyu Martineli ndo wakukaa nje too childish now days mechi nyepesi inakua ngumu

Ukiwakuta Arsenyani wanavyojisifia kucheza mpira mzuri utahisi labda wanaenda kushinda 5 bila kumbe wataotea kigoli kimoja tu, yani wakitekenywa kwenye injury time shughuli ndiyo imeisha.