Interlacustrine E
JF-Expert Member
- Jun 3, 2020
- 3,396
- 6,024
Daaah hivi kweli kabisa chama letu la London linatukwamisha hivi daaah [emoji849][emoji26][emoji2960]Nasikia kelele huku nani kapigwa?
Yaani tunaweza kumaliza bila hata kupiga shuti Tena wakikaa nyuma ndo basi tenaAngalia back 4 ya villa unavyoji- position, ni ngumu kupenya kwa style ya arteta. He does learn
Ni yule yule..mechi ya tano hii anashindwa kushinda.Nasikia kelele huku nani kapigwa?
Hizi Kima zilitumia nguvu nyingi sana siku ile zilipocheza na Man Utd, pamoja na kutufunga ila sisi ndio tuliowachomoa upepo na impact yake ndio inaonekana sasa hivi.Ni yule yule..mechi ya tano hii anashindwa kushinda.