Ua mbuzi hawaPigaaaa
Uaaaa
Chinjaaa
Malizaaaa
![]()
Dah, we jamaa steress za Cheltako zitakuua, akatwe mguu tenaWazee tuongezeeni hata pesa kidogo kwa Jorgnho.
Ameingia moja kwa moja 1st eleven.
Na jeraha alilopata partey madaktari wameshauri akatwe mguu.



Hii timu itawaua walahi, sasa mmerudi kwenye kiwango chenu halisia, mechi hii inaisha kwa sare
Arsenyani, arsetumbili, arsegorilla,
Malezi, malezi, malezi......Jamani tupunguzeni posts ambazo pia zinatufanya tuonekane vijana wa hovyo, najuwa mpira unaambatana na utani ila sio huu. Nikijaga kwenye jf platform ya sport uwa najiuliza iweje JF mods waliacha jukwaa hili lijiendesha lenyewe bila kufata sheria za JF kwa ujumla? Guys tufike pahala kabla ya ku-type na kupost tujiulize sisi ni akinanani katika jamii? Lakini tuzingatie tunachokiandika mtandaoni kinaishi miaka yote na tutakutana nacho pindi tushazeeka na tutajiona hovyo katika jamii ya wakati huo.
Partey na Jesus yaani wanaondoka kipind tunawahitaji sana sana...We are really need them to secure our performancePartey’s absence is felt