Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Screenshot_20230218_160256_All%20Goals.jpg
 
Kwa huu uchezaji hatuwezi kutoboa tunafanya makosa mengi sana kwenye build up play Arteta kuna mambo anatakiwa kuyafanyia kazi inabidi timu ianze kua direct sasa timu zimeshatusoma uchezaji wetu .Zinshenko anatakiwa kupumzika anakaa sana na mpira bila sababu zmsingi
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom