Oxlade-Chamberlain
JF-Expert Member
- May 26, 2009
- 8,635
- 2,209
mmebahatisha na kubebwa kwenu...
Ila aaaaa.....hongereni bana...mmetuongeza machungu ya kumtafuna Chelski jumapili...
Soka sucks stms...
Yaani 2lifanya kosa juzi 2ngekuwa mbali. Bahati yake Wenger leo ange2muliwa!
Itakuwa poa sana kama Chelsea watacheza kwa kujituma sana na kuwaadhiri MANU pale nyumbani kwao Old Trafford, hata wakishinda kwa bao 1 watauchukua usukani wa EPL maana wao wana idadi kubwa ya magoli ya kufunga ukilinganisha na na MANU.
Haters where are you today? 🙂
Ndo maana miye nakupenda maana wewe ni mpenzi wa kweli kabisa ambaye siku zote hata kama mtafungwa utatoa pongezi kwa roho nyeupe kabisa. Ahsante sana BJ na poleni kwa kipigo cha leo ambacho kimepunguza kwa kiasi fulani matarajio yenu ya ubingwa.
Aah bwana, imeshakuwa ishu...ila next mechi lazima muipoteze, sijui kwanini nahisi hivi...ha ha
acha nimalizie msiba, wewe endelea na sherehe huko...naona umefurahi kweli kweli...
Michelle... kila siku kumbuka "Bala is always here"Nipo my dia.......Naona kama wewe ndo ulipotea hasa katika zile game za Liver na Spurs.......Sikukuona kabisa
Kushinda raha aisee,ushindi wa leo umenifanya kwa mbaaali nisahau maumivu niliyosababishiwa na Arsenal msimu huu
Mkuu sio kweli kwamba Chelsea ana magori mengi ya kufunga, united ana 71 na chelsea ana 66 tofauti kubwa sana....sijui labda mwenzangu hebu yako umeitoa wapi.......
Mkuu sio kweli kwamba Chelsea ana magori mengi ya kufunga, united ana 71 na chelsea ana 66 tofauti kubwa sana....sijui labda mwenzangu hebu yako umeitoa wapi.......
Mkuu sio kweli kwamba Chelsea ana magori mengi ya kufunga, united ana 71 na chelsea ana 66 tofauti kubwa sana....sijui labda mwenzangu hebu yako umeitoa wapi.......
Duuh naona una ugonjwa wa Sheikh Yahaya siku hizi wa kuona mbali lol.
Furaha sio kubwa kivilee kwani tulitakiwa tuwe kwenye position nzuri zaidi ya tuliokuwepo sasa hivi. Nakuombea draw mechi zako zote na chelsea nao watoe draw mechi zote na sie tushinde mechi zote kwa magoli mengiiiiii lol ndoto hii ni kubwa kuliko zote kwenye maisha yangu .
Sio Shehe tu bali na ratiba za Arsenal zinajulikana, akishinda mechi hii inayofuata ni kipigo..ha ha!! ila sijui tuone mbele, usije kukata tamaa mapema!!
Hayo maombi ya draw kwa mechi za Chelksi na Manure hazitowezekana kabisa, halafu nyie mshinde mechi zilizobaki??!!! kweli itakuwa historical🙂)
Kweli leo Mei Mosi, naona AW kajituma kikazi zaidi!!!
Pundits gani hao unao wazungumzia mkuu? Maana English media siku zote ina soft spot na timu za London.Leo tumewapooza mdomo pundits wa UK , manake wanachuki na Arsenal kinomaa kwa vile hatutumii hela nyingi kama Club zao wanazozipenda na bado tunawatoa jasho mpaka dakika ya mwisho lool.
Lakini mmejitahidi mechi ya leo na points zenu 3 ni za halali kabisa...so hongereni sana wakuu......sasa na sisi tuangalie mecho na Chelsea
Leo tumewapooza mdomo pundits wa UK , manake wanachuki na Arsenal kinomaa kwa vile hatutumii hela nyingi kama Club zao wanazozipenda na bado tunawatoa jasho mpaka dakika ya mwisho lool.
Samahani Mkuu ni magoli ya kufungwa MANU wamefungwa 32 na Chelsea wamefungwa 28, hivyo kama Chelsea watashinda kwa idadi yoyote ile ya magoli Jumapili ijayo watachukua usukani wa EPL.