Oxlade-Chamberlain
JF-Expert Member
- May 26, 2009
- 8,635
- 2,211
angalia vizuri position ya refa na mshika kibendera kama wangeweza kuona lile tukio usilaumu tu
Arsenal kwa visingizio wametukuka
Sisi wazembe sana. mtu wanamuona van persie anaenda hata kumsaidia. Arshavin ndio kaamua asimame kabisa anamuangalia badala na yeye kukimbia nae kwenda kuwachanganya mabeki na kumuongezea options.
Something ought to be done...the fighting spirit is not there....Viva Arsenal
wazee wa procurement hao:croc:MAN U kwa bahasha wametukuka
Ebouee wanini saa hizi Wenger, ungemuacha walcott awakimbize hawa. wanatafuta goli sasa hivi ni rahisi kuwakamata kwenye counter attack .
Eboue huwa nae mtu wa magoko i hope hata leta ujinga kule golini kwetu.
muache waga ana bahati zake....sometimes ni ngumu kumuelewa Wenger