Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Toka mzibuliwe na Everton pamepoa sana hapa ndani.
Bado wapo kwenye matanga,
Ule msiba ulikua mzito sana, mpaka wengine wakafikia hali hii huko mabarabarani.
Your browser is not able to display this video.
 
Kwenye hii fixture huyu arse8 anapoteza zote hapo
 
Kunaingilika huko?
Wazoefu nawaona wanatoka na nakuingia, ila kwa mgeni sikushauri.
Kuanzia juzi, wale jamaa (waasi) wamerudi kwa kasi na nguvu mpyaa.

Kuna kijiji wamechinja kama watu 16 hivi.

Ila tuachane na hayo, tunatoka nje ya maudhui.
 
Achana nae mkuu.
Stress zake anazileta huku!... mbona atatulia tu.
 
Mchizi boti, me sili kwa shemeji.
Wanaobeti wengi wao hawana majukumu.

Ila mchizi boti pale kwa Enzo mumepigwa na kitu kizito, yule sio mchezaji wa kununua kiasi kile cha pesa.
Yule ngoja achanganye ndio utajua bado ni mapema kumjaji
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…