TENGERU HOUSE Habari zenu. Nikiwa mdau wa ubunifu na usanifu majengo, nimeona niwashirikishe kwa ufupi namna mimi na baadhi ya wasanifu majengo tunavyofikia utekelezaji wa majengo na bidhaa tunazobuni. Nitatumia design yangu ya nyumba ya vyumba vitatu isiyo ya ghorofa iliyobuniwa kuwa Tengeru...