Katika wachezaji ambao nikiwaangalia naamini walipaswa kuimbwa sana, ila kwa sababu kadhaa hawapewi sifa hizo..
Mmoja wao ni son, mkorea huyu anajua saana boli.. Pale EPL anacheza timu yoyote ile, tena kikosi cha kwanza.
Ila ndio hivyo Tena yupo Tottenham, umri ushasogea, atasahaulika mapema au utokuimbwa inavyopaswa akistafu.