Arsenal (The Gunners) | Special Thread

AssaniAly hafanani kuwa bingwa.
Itachukua miaka kama 45 hivi kuchukua ubingwa, kipindi hicho nikiwa na nywele nyeupe kama ndanda kosovo.
 
Gooners! Kitambo sijatembelea hapa, sababu naona kuna chuki na utoto mwingi na sio ushabiki, wale mashabiki tulioanza kitambo wanaoelewa mpira na ushabiki wametulia, hivi sasa wamejaa wale walianza kujua kutumia mitandao miaka ya hivi karibuni kwa madhumuni ya kiki (TROLLS).
Anyway, tunaoelewa mambo ya ligi tunajua ligi huwa ni marathon na sio a sprinting competition, kuna siku mbaya ofisini lazima zitakuwepo, take my words, Arsenal will be the EPL champion msimu huu. Na jana sio kwamba timu imecheza vibaya ni matokeo tu, ni timu chache zinaweza kupata matokeo dhidi yetu naweza sema ni Newcastle at St. James park, City at Etihad, Liverpool at Anfield. so far tumepoteza 2 na wao City wamepoteza 3 games tayari , na performance wise Arsenal ni 2nd kwenye magoli ya kufunga, nyuma ya City tu, na defense yetu ni nzuri tumeruhusu magoli machache only Newcastle conceded less than us. Na wao City wana mechi ngumu za away at Brighton, at the Emirates na pale Brentford community ground, katika hizo sehemu sio rahisi City kushinda, naweza sema watapoteza mechi si chini ya 4 zaidi na bado wana tricky games dhidi ya Liverpool na Chelsea wakati Arsenal kuna uwezekano kupoteza labda mechi 2 zaidi hizi za away either pale Etihad/Anfield ama labda at St. James park. Anyway tuangalie leo City kama kweli watashinda pale Spurs stadium. #upthegunners!
 
Arsenal
Arsenal haiwezi kupoteza kwa hi Liverpool inayochechemea mkuu.

Mimi nachojua mechi ngumu kwetu ni ya Newcastle at St James Park( hii tutatoka draw) na Man City at Etihad ( hi tunaweza tukapoteza).
 
city kapigwa mkuu, hatujaharibu kitu
 
Haya City amepoteza tena, 4 losses tiari bado points 5 palepale na mechi moja wamecheza zaidi. Tukutane Emirates J'mosi ijayo na Brentford kabla ya kuja kuzika ndoto za City J5 ya tarehe 15 pale nyumbani. #NorthLondonForeverWhatevertheWeather.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…