Liva hana jipya hata walevi wanajipigia vitatu wanalala salamaHivi ndiyo tuseme Liva imejiishia kiasi kwamba watu wanaona Arsenal kufungwa 1 ni big deal kuliko 3 za Liva?
Arsenal is massive
Itapendeza Zaidi Kama Tottenham watashinda hiyo mechi, nadhani Wana uwezo mkubwa wa kufanya hivyo coz wako na home advantageAnaumwa
THREAD imevamiwa si kitoto watu wamemiss Arsenal kuona ana lose game
Liver yuko chini, aliye juu ndie anatunguliwa maweHivi ndiyo tuseme Liva imejiishia kiasi kwamba watu wanaona Arsenal kufungwa 1 ni big deal kuliko 3 za Liva?
Arsenal is massive
Si mmempata Jorginho?? Kelele za nini tenaKumkosa Caicedo ilikuwa ni set back kubwa kuliko Mudryk, guess what tungempata Caicedo basi nxt season tungeweka priority ya kumsajili Declan Rice. So midfield yetu ingekuwa na Rice X caicedo. Hii ni dawa ya mitishamba kwa wajinga km Sean Dyche wanaotegemea physical game, low block & set pices. Caicedo X Rice nawapenda cuz wanacheza very clean game, don't misplace passes, don't dispossess, they win duels, they're so secured technically.
Jorginho is our single pivot #6. Doubt him at your own risk.Si mmempata Jorginho?? Kelele za nini tena
Ndo kusema game za makocha wenye mbinu hizi zinaweza kutusumbua sana,Kumkosa Caicedo ilikuwa ni set back kubwa kuliko Mudryk, guess what tungempata Caicedo basi nxt season tungeweka priority ya kumsajili Declan Rice. So midfield yetu ingekuwa na Rice X caicedo. Hii ni dawa ya mitishamba kwa wajinga km Sean Dyche wanaotegemea physical game, low block & set pices. Caicedo X Rice nawapenda cuz wanacheza very clean game, don't misplace passes, don't dispossess, they win duels, they're so secured technically.
Arsenyani, Cheltako na Liverkuku ndiyo makubwa jinga ya wiki.
Mji umetulia.
Hizi ndio shida za kufatilia mpira umesha zeeka. Wala sikushangai kwa ulicho kiandika. Kukariri kwingiOn majinga haya..yani classy ya Jorginho unalinganisha na huyo mrugaruga?? Huyu bingwa wa ECL unamlinganisha na huyo hajawahi kushinda chochote toka dunia imeumbwa.
Pumbaf ,wakichukua ubingwa muwe nyie ? , Umelogwa wewe ,Mkuchika ubingwa naharisha Tanzania mpaka DubaiLengo letu msimu huu ni kushinda ligi, Spurs wana kauli mbiu yao wanasema "To dare is to do" so let's go again tomorrow. #Coys.