Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Goli la Tarkowski
Doucoure kamfanyia umafia Saliba
Kona kama tatu hivi Saliba amekuwa akiwanyima Everton goli
Doucoure baada ya kugundua hilo akamlia radar Saliba alimbana hata kabla kona haijapigwa na kutengeneza nafasi kwa Tarkowski
Yaani hata kama ningekuwa mimi ningefunga hilo goli
BIG UP kwa Doucoure
 
onana mvunja kuni leo kawavunja moyo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…