Arsenal (The Gunners) | Special Thread



 

mi mkuu kilio changu hapo kwenye RED cesc he wont he will never be a strong leader .. tunakosa kiongozi uwanjani.. nawakumbuka sana hawa chini.






 
Hahahaha nilikutafuta sana siku na Bolton! Haya bwana kila laheri huenda mkamaliza msimu mkiwa wa 4

Ha ha ha nashukuru mungu ban ya mwisho imekupunguzia fujo zako, manake kama ungekuwa kama zamani hapa pasingekalika jumapili lool.

Endelea hivyo hivyo mkuu naona naona pound mil 58 yenu imepata goli la kwanza sio.
 
Ha ha ha nashukuru mungu ban ya mwisho imekupunguzia fujo zako, manake kama ungekuwa kama zamani hapa pasingekalika jumapili lool.

Endelea hivyo hivyo mkuu naona naona pound mil 58 yenu imepata goli la kwanza sio.

Nilikuwa Jimboni Mkuu BAN ile ilikuwa ya masaa tu!
 
Wacha kelele wewe nasikia tetesi Abraham O Vich amekufa vipi Chelsea bado mtaendelea kuwepo?

Mhhhhh Naogopa Kusema Nasikia Arsene Wenger anatazamiwa kufundisha Queens ParK Rangers Kuanzia msimu Ujao!
 
Tangazo Tangazo Tangazo Tangazo Tangazo

Kuanzia kesho ijumaa hadi jmosi kutakuwa na zoezi la kuwapima afya fans wa arsenal kabla ya mechi yao na MAN UTD ili kuzuia yale yaliyotokea kenya soon yasitokee hapa tz.

atakayesikia tangazo hili awaambie na wenzake, najua WACHA1 ni wa kwanza kuliona so waarifu CO.

signed
 

Wacha kuwanga wewe. Wenzako tayari uharo unawatoka khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
 
Naona hamtaki ata ku sign inn leo...mnalo kudadadeki!
 
Vipi wakuu wa ARSENAL mpo???naona yupo mmoja tu ambaye ni ARSENAL WENGER......
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…