Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Wachezaji wa bara la america hasa brazil,chile,paraguay,uruguay,mexco nk ukiwaangalia physical appearance yao unaona jambo moja kubwa "utukutu na ununda" hata wakijishepu bado unaona ile nature ikiwaandama.
Naona arteta amejitahidi saana kumshepu martinell na nadhani atazidi kuimarica ethically.
Wachezaji wa ki "english" kwenye facial interview unaona yafuatayo
1-Nguvu(hawa jamaaa ukoloni kuna mahali uliwaathiri katika matumizi ya nguvu.they believe with power everything is attainable )

2-Deko (the feeling of deserving ) wanahisi dunia ya mpira inatakiwa izunguke huku wao wakiwa ni muhimili.jamaa wanachekesha saaana.they believe without england and english clubs mpira hauna thamani uliyonayo.(pengine ni kweli)

My take; Perez moja ya sababu ambayo haizungumzi hadharani kuhusu kupigania super league nikutaka kutengeneza platform yenye atmosphere na pleasure ya fancy,fantasy na maslahi inayokaribiana na EPL.

Waarabu,wachina na wamarekani wamejaribu saana kutengeneza league na vilabu vyenye ushawishi lakini tactically na technically jamaa wako dunia yao.
Kuondoka kwa MESS na RONALDO katika la liga kumeifanya ligi yao kuonekana ya kawaida na nikama imepoteza ushawishi.
Watu kama lewandosky,hazard,aubameyang nk,waliletwa si tu kwa ajili ya vilabu vyao bali kuona kama wanaweza offer nusu ya mvuto waliokuwa nao MESS na RONALDO
 
Sawa ila Pep Kipara ni jitu baguzi la rangi nyeusi toka Africa la kazi gani nijipendekeze kwake kulikubali?
Cancelo angekuwa anarangi nyeusi sipati picha nyie mbwa mngeoongea nin....

Pep hana ubaguzi ila mchezaji yeyote akileta ujuaji mwingi na kujiona special kwenye kikosi ,anaondolewa haraka Sana ,haijalishi Nani ni nani ....
 
Ukijaribu kuingia katika fikra za arteta utakutana na haya swali ambayo muda mwingi anajiuliza
HOW AM GONNA FINISH THIS RACE?
What if partey ......

Why jorginho?
Jorginho akiwa kama backup ya partey, its a big deal
Hatuwezi kumtegemea Lokonga just in case partey...

Jorginho alikua bora, yupo bora na habari njema zaidi atakua bora zaidi katika mikono ya mike arteta. Swali ni HOW?

kwanza kabisa jorginho ni profile za arteta, ndio maana nilipata kusema hatuwezi kuwa na Onana mvunja kuni

Tactically copy anazopiga arteta na jinsi alivyokua muumini wa total football, jorginho ni mtu sahihi
Domination of midfielder, killer pass, pressure resistance

Tunamuhitaji jorginho kama amana hospital inavyohitaji ambulance ya dharula, for emergency

Kama unaikumbuka barca ile ya messi, iniesta, xavi.
Basi Kuna mtu alikua anaitwa busquet ndio alikua anawafanyia kazi zote chafu technically. Lazima uwe na jicho la mpira ndio utaliona hili
Saka, martinel, Trossad, Nketiah, Xhaka, Jesus kule mbele wanamuhitaji sana mtu dizain hii ili kuweza kufanikisha mikimbio yao

Tunamuhitaji jorginho kama Ally mpemba anavyomuhitaji master UMUGHAKA katika kumfanyia kazi chafu za kafara

Ukiachana na jorginho kuwa backup ya partey, pia tunaweza kumuona game nyingi tu ambazo hazitakua na pressure kubwa
Kama hizi za astonvila, Nottingham forest, Wolverhampton...
Au baada ya kupata matokeo dakika ya 65+ partey anampisha jorginho

Jorginho kwa mara ya kwanza anaenda kunyanyua EPL

For short term plan, its a big deal


Arsenal NDOO
Haaland kiatu

 

Attachments

  • IMG-20230203-WA0015.jpg
    80.7 KB · Views: 11
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…