Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Yes. Tumewatajirisha sana tu hawa. Waione kama complement Kwa scouting team yao
 
Summer, team nyingi zitamrudia Caicedo.

Brighton wajiandae summer
 
Not guaranteed kuwa atakuwa dhahabu akatingisha soko kama walivyofanya. Akiflop watapata hela ya mboga tu. Sasa wangekula nyama ya nundu.
 
Summer, team nyingi zitamrudia Caicedo.

Brighton wajiandae summer
Hata dirisha hili lililofungwa jana laiti Chelsea wasingekua na uhakika wa kumpata Enzo na wakaamua wamsajili Caicedo Brighton wasingeweza kuchomoa.
Ile mechi yao ya mwisho hawakumchezesha kwa kuamini kuna uwezekano mkubwa wa kuuzwa kwenye timu inayojielewa, ila baada ya kuona timu inayomng'ang'ani sana ni middle team kama yao wakaona bora tu hiko kipaji wabaki nacho wenyewe kuliko kwenda kukipoteza kwenye timu ya one season wonder, timu ambayo ina zaidi ya miaka 20 haijawahi kubeba
la Epl, Timu ambayo tokea kuumbwa kwa ulimwengu haijawahi kubeba
la Uefa hata mara moja.
 
Wewe jamaa dah unazingua
 
Mimi kombe Bado sijawaza. Nyie mmempata Marcella Sabrina aje azibe pengo la Erica. Ametoka ligi ingine. Je akikawia kuzoea mazingira mapya na ligi mpya si mtatoka top 4 nyie.? Mshukuru Man City wamepoteza mchezaji la sivyo hizi mbio nyie mlikuwa mnaenda kiziaga
 
Tuwaambie Ukweli manyua kuwa hatoki kwa Newcastle fainali Carabao au tuwaache Kwanza?
Kuna kiumbe pale kati kinaitwa sanitizer, yaani sasa hivi ni mwendo wa kunawisha mikono tu bila kula.
Huyo jamaa unaambiwa free kicks zake hua zinahesabiwa ni penalty, yaani jamaa lilivyofika tu Old Traford likaenda moja kwa moja kumtafuta Weghorst na kumuhakikishia mpaka mwezi may lazima Weghorst atakua na magoli mengi zaidi ya Nketiah.
Man Utd msimu huu hakuna kikombe wala kibakuli tutakacho kiacha, kuanzia Caragabaho, mwana FA, Europa na hio Epl ni mali halali za mashetani wekundu, nyie Arsenyani ni wasindikizaji tu wa hii michuano.
 
Oyaaaaa
Brighton ni wagumu kwenye negotiation huwa wanajifanya hawana shida na wanauza watakapoamua.
 
Jorginho vs. Arsenal players in the PL this season:

Most tackles made
◉ 42 - Jorginho
◎ 39 - Ben White
◎ 36 - Thomas Partey

Most interceptions
◉ 21 - Jorginho
◎ 19 - Partey
◎ 17 - Gabriel

Most possession won
◎ 156 - William Saliba
◎ 124 - Partey
◉ 119 - Jorginho
 
Watu wanaumia mno Arsenal kuongoza ligi, hasa Manyumbu & chelwowo, siku tukianguka utaona matusi yatatolewa humu, kama tulivyokosa nafasi ya UEFA last season! Utaambiwa "tulijua tu", infact wanafki wanajulikana, kujikuta wanatoa sifa kumbe wanabadilika na upepo yaani bendera.


Game zimebaki 19, kila mechi fainali, Jesus yupo mbioni kurudi, hata hatujamkumbuka, so lets pray tuwashut up.
 
Sasa Hivi hata Kama Partey hayupo Bado na uhakika na Point 3

Kwa hiki kikosi chetu,mancity anahitaji asidondoshe point Kama anataka kutetea Ubingwa
Tukifika GW 25 gepu la points likiwa 10+ Kazi anayo
 
HUYU TEN HAG KWELI ANAYATAKA MAKOMBE YOTE MANNE. YAANI KATIMU HAKA ANA AGGREGATE YA GOLI 3-0 NA BADO ANAWEKA FULL MZIKI!
BY THE WAY NI WACHEZAJI WAWILI TU KWENYE HII 1ST XI HAWAKUWEPO WORLD CUP.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…