we usijisifu sana na litim lako la academy ya ustaafu na penshen pale amna ki2Kuna kitu umesahau kuwaambia hawa kima, huyo Marcel Sabitzer ana PHD ya kupiga pasi, ana Masters kwenye maswala ya tackling na kuzuia, hajawahi kupata chini ya A katika somo la kupiga mashuti na kwenye maswala ya mbio huwa anafanya mazoezi na Hussein Bolt.
Ulitakiwa umalizie na caption hii hapa ya Southern Highland ili kuonyesha Arsenyani wamepata silaha kali ya maangamizi.ela ya soda mmetoa na bado mnatuita tapel ila nn atawasaidia kwenye mfumo wenu kama atafit
Kila nikimuangalia Sabitzer hua nnajikuta nabubujikwa machozi ya furaha kwa kumbukizi ya yale magoli ya free kicks za Jurninho Pernambucano wa Lyon ya kipindi kile wanasumbua kwenye ligi kuu ya Ufaransa miaka 7 mfululizo.we usijisifu sana na litim lako la academy ya ustaafu na penshen pale amna ki2
Flano 😂😂😂😂 bora Tz nenda Kenya au Uganda alafu itokee Arsenal kala zakutosha. Alafu umtanie shabiki, ndiyo utamjua.Hawa ndio mashabiki wa Arsenyani ninaowajua mimi.
Kwanza kua shabiki wa Arsenyani mpole mpole hata hainogi kabisalazima uwe na mdomo mdomo ili kuendana na mfumo.
Flanobora Tz nenda Kenya au Uganda alafu itokee Arsenal kala zakutosha. Alafu umtanie shabiki, ndiyo utamjua.
Palace kazi ni moja kufanya blocks,nakupga pasi za mwisho kwa Olise na Zaha. Ana kitu sema kwa Arsenal hii huwezi kukiona na anaweza kushine timu nyingine mkuu.Aaron Arsenal re: Lokonga
Bro tumuombee huyu jamaa ila Kwa mtazamo wangu na baadhi ya waliomchambua humu, sioni akifanya vizuri Palace. Kama changamoto zake ni positioning, lack of aggressiveness, pace na poor control na ukabaji mbovu...basi Kwa timu kama Palace si ndiyo watamuua kabisa. Angalau sisi tumaheshimiwa na kuogopwa na wapinzani. Kule hata kina Everton na manyumbu watakuwa wanawapress na kuwakimbiza bila huruma. Pressure hizo hataziweza huyu jamaa.
Sisi na nyinyi nani ana mashabiki wengi ?ila nyie mashabiki wenu ni changamoto sana aiseeeeee, ndio maana hata zile takwimu za ile hospitali ya Dodoma hukuna mtu yoyote aliezitilia mashaka. View attachment 2502435
HAHAH DAAH!Kila nikimuangalia Sabitzer hua nnajikuta nabubujikwa machozi ya furaha kwa kumbukizi ya yale magoli ya free kicks za Jurninho Pernambucano wa Lyon ya kipindi kile wanasumbua kwenye ligi kuu ya Ufaransa miaka 7 mfululizo.
Huyu muda mwingi alipoteza wodini, au ulikua hufuatilii mpira enzi hizo?Kwenye hii comment yako naomba huyu mwamba hapa chini asihusishwe, maana mpaka leo hua anajilaumu sana kupoteza muda wake mwingi kuchezea timu ya Academy.
Povu ruksaaaa. View attachment 2502271
Nikikumbuka mlikuwa mnakuja jukwaa la chelsea na kumtukana Jorginho aisee nachoka.
Hahaaaa nimecheka had nimepaliwaKila nikimuangalia Sabitzer hua nnajikuta nabubujikwa machozi ya furaha kwa kumbukizi ya yale magoli ya free kicks za Jurninho Pernambucano wa Lyon ya kipindi kile wanasumbua kwenye ligi kuu ya Ufaransa miaka 7 mfululizo.
Yaani hatari sana, wapinzani wetu watajuta kwa nini Ericksen ameumia, maana huyu Sanitizer(Sabitzer) ni sawa na Ericksen watatu, yaani hapa nlipo natamani hata ligi irudiwe tuanze upya.Hahaaaa nimecheka had nimepaliwa
Mashabiki wa man u mnaongea Sana jamani
Sio kwamba mbaya kiasi hicho, ujue Arteta aliwasajili hao na Hawa kina ode, Tomiyasu,white, n.k kwa ajili ya kucement mfumo au style play ya timu, bahati mbaya project imeenda Kasi Sana ,na imemuacha ,kwa Sasa hatuwez kumsubiri TenaAaron Arsenal re: Lokonga
Bro tumuombee huyu jamaa ila Kwa mtazamo wangu na baadhi ya waliomchambua humu, sioni akifanya vizuri Palace. Kama changamoto zake ni positioning, lack of aggressiveness, pace na poor control na ukabaji mbovu...basi Kwa timu kama Palace si ndiyo watamuua kabisa. Angalau sisi tumaheshimiwa na kuogopwa na wapinzani. Kule hata kina Everton na manyumbu watakuwa wanawapress na kuwakimbiza bila huruma. Pressure hizo hataziweza huyu jamaa.
Ngoja tusubiri tuoneYaani hatari sana, wapinzani wetu watajuta kwa nini Ericksen ameumia, maana huyu Sanitizer(Sabitzer) ni sawa na Ericksen watatu, yaana hapa nlipo natamani hata ligi irudiwe ianze upya.
Man u domestic cups(kala bao and mwana FA)Yaani hatari sana, wapinzani wetu watajuta kwa nini Ericksen ameumia, maana huyu Sanitizer(Sabitzer) ni sawa na Ericksen watatu, yaana hapa nlipo natamani hata ligi irudiwe ianze upya.
Tatizo lenu nyinyi hua mnadharau na kupenda kulianyau sana.THE ATHLETIC WANASEMA KUNA KILA DALILI MAHUSIHANO YA ARSENAL NA BRIGHTON YAMEVUNJIKA
Waliposema HAUZWI ,Arsenal wakafanya Dharau wakatuma ofa ya 2
Relationship between Brighton & Arsenal,has been damaged. Brighton were left irritated and perplexed after the 2nd bid as they felt Arsenal did not get the message that the player is not for sale.
View attachment 2502518
We boya hujui kitu na huelewi.. yani upo upo tu, ni kuzurura huku na huko ukimwaga pumba!Tatizo lenu nyinyi hua mnadharau na kupenda kulianyau sana.
Mwanzo kabisa mnapeleka offer yenu ya eftatu, Brighton waliwakatalia kuwaambia kua hawana mpango wa kumuuza, na endapo wakiamua kumuuza haitakua chini ya £80m, hamjakaa sawa eti mnapeleka offer nyingine ya eftatu mia tano kama sio dharau ni nini?
Trossard mmepewa kwa bei ya hisani baada ya kutofautiana na kocha wake, laiti mngekua wastaarabu mngewapa tu hio £80m mkamaliza biashara.
Ule ujinga uliofanyika kwenye offer Mudryck ndio ujinga huohuo mmeurudia tena kwenye offer ya Caicedo.
We boya hujui kitu na huelewi.. yani upo upo tu, ni kuzurura huku na huko ukimwaga pumba!
Pumba* kabisa!
Mkuu,Tatizo lenu nyinyi hua mnadharau na kupenda kulianyau sana.
Mwanzo kabisa mnapeleka offer yenu ya eftatu, Brighton waliwakatalia na kuwaambia kua hawana mpango wa kumuuza, na endapo wakiamua kumuuza haitakua chini ya £80m.
Hamjakaa sawa eti mnapeleka offer nyingine ya eftatu mia tano kama sio dharau ni nini?
Trossard mmepewa kwa bei ya hisani baada ya kutofautiana na kocha wake, laiti mngekua wastaarabu mngewapa tu hio £80m mkamaliza biashara.
Ule ujinga uliofanyika kwenye offer Mudryck ndio ujinga huohuo mmeurudia tena kwenye offer ya Caicedo.