Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Hizi stats ambazo zinaonekana ni nzuri hazijasaidia asikae benchi Chelsea.

Kwanini?
 
Ni cover tu mpaka Mei (amepewa 12 months) na ana option ya kuongeza mwaka.

Ila atacheza mechi nyingi sana khasa za Europa League.
 
Mzee taratibu basi wajameni. Tunavunja ngalawa tunayosafiria pamoja.
 
Unachosema ni kweli kocha ana nafasi yake kubwa kwa mchezaji ila tambua na mchezaji nae aamue mwenyewe ku step up na kumuaminisha kocha hakukosea kusajiliwa.

Jorginho ni mchezaji mzuri ila shida yake yupo very slow, mvivu. Labda kama ataamua mwenyewe kubadilika.

Keshafika Emirates na medali za UEFA na CWC naambiwa Martneli alitaka kupiga nazo picha akanyang'anywa simu na Arteta
 
Dah
naona wadau mmechafukwa na jorginho balaaa..tulikuwa tunaongea lugha moja kwa caisedo,zubimendi na onana ila alipoingia jorginho hali ya hewa imebadilika.relaax guys its all about fun.tusiwe emotional wadau.
Mwisho kwa kila anayechangia pliz mind your tongue
 
Kwa Nini mlimsugulisha bench?
 
Zitto kwenye moja na mbili, kuna game ambazo Jorginho anauwezo wa kuanza na partey akakaa benchi, wala sio back up pekee
 
Nimesema jamaa yuko slow, hana pace, mzito kwenye decision making.

Wewe sasa usikomae na benchi limesema. Nijibu wewe kwa kutumia akili zako kwamba nimekosea kwa sababu hizi hapa.

Hoja ya benchi limesema ni hoja ya wafuatilia mpira livescore
Unaanza na sentesi usitudanganye! Nani anakudanganya?
 
Nadhani kocha Arteta ameshaandaa namna timu itacheza kwa style ya kubeba madhaifu ya Jognho na zaidi kupata kile kilicho bora kutoka kwake.

Tulieni msiwe na wasiwasi, hiyo ni kazi ya kocha
Je hiyo ni lugha nyepesi tu ya kusema mmetupiga parefu? πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„
 
Umesahau beki mrefu Gabriel, watu wamemtukana sana humu, lakini kila zikiletwa stats anaonekana yuko vizuri
Baada ya kombe la dunia Jamaa mistake tulizokua tunaziona hazipo tena that why huoni tunamsema tena GM6, ndivyo hata mwanzo Will Jr alikua anasema kuhusu Partey na ni wachache sana waliokua wanaona kua kuna mistake anazifanya hapaswi kufanya ila kuna watu pia walikua hawaelewi kabisa, Ndo maana saiv huwez kuona malalamiko tena kuhusu Partey ndivyo ilivyo kwa GM6 now yuko njema sana
 
utani wa ngumi huu.
 
Naona wadau mna argue kinoma noma
but for me Jorginho naona ni usajili sahihi kwa sasa sababu ya Experience kubwa aliyonayo mtu ana Euro ,Champions league trophies
kwa sasa anaweza akatusaidia kwa kiasi kikubwa kusonga mbele na I am happy kwa Lokonga kusepa zake so kwa usajili huu naona ni mzuri tu kwa team yetu ya Arsenal keshakutana na big games za national na clubs so let's hope atatusaidia
 
Ulipotelea wapi ndugu yangu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…