Aaron Arsenal
JF-Expert Member
- Jul 24, 2014
- 24,498
- 28,720
Arsenal Wana option nyingine ,utaratibu huwa Kuna Majina Hadi matatuNaona tuachane nae huyu Caicedo. Hawa BHA wamepanga kutukamua. Arsenal wasiende zaidi ya hapo.
Tuangalie options zengine.
Navuta picha hapo wangeenda Spurs, Villa au timu yoyote ndogo basi wangekua washamchukua kwa £25 tu!
Maajabu ya mpira anaweza shuka kiwango au injury wasije ipata tena hela hiyo.Arsenal Wana option nyingine ,utaratibu huwa Kuna Majina Hadi matatu
,tusubiri Hadi jion tuone Kama 3rd bid itatumwa au tuta Give up ,
£70m kwa Mchezaji ambaye hajafikisha Hata mechi 50 alizoanza za EPL, Mchezaji ambaye walimnunua sijui £7m , kwao hi ilikuwa jackpot
Angalia ilivyotokea kwa Aour ,au Zaniolo Sasa Hivi anaweza kwenda bornamouthMaajabu ya mpira anaweza shuka kiwango au injury wasije ipata tena hela hiyo.
Mkuu mbona huyo Pepe asirudi tu ama kashauzwa tayari?Alexis Sanchez has 7 goals
Nicolas Pepe has 6 goals
Nuno Tavares has 5 goals
lacazette has 12 goals
Floran Bologna has 10 goals
we own Ligue 1 league
Kwahiyo Arsenal kufika had £70m Bado unasema Ni wabahili?Acheni ubahili Arsenal vunjeni kibubu mchukue mali hiyo Calcedo
Folarin Balogun 11 goals, kawa mtamu hatari. Jana kamkandika PSG.Alexis Sanchez has 7 goals
Nicolas Pepe has 6 goals
Nuno Tavares has 5 goals
lacazette has 12 goals
Floran Bologna has 10 goals
we own Ligue 1 league
Hawez kurudi ndio maana Hata namba yake wamempa TrossardMkuu
Mkuu mbona huyo Pepe asirudi tu ama kashauzwa tayari?
Shida wanasema hawauziArsenal tunamuhitaji Caicedo, he's so good man, tuachane na habari za second hand kina Onana. Trossard walituuza vunjabei, tuwape pesa tubalance vitabu