Wakifanya hivyo watamla wenyewe. Wachezaji wazuri wengi. Tuta.pata mzuri kuliko yeye.Enzo nasikia wanampa £2m halafu RC wanaipandisha kutoka €120m had €150m
Labda Kama humjui Di Zerbi ,Potter alikuwa anatumia back 3 ,pia Potter alikuwa Hana buildup nzuri Kama ya Di ZerbiKazi ya Potter hiyo. Kaijenga timu hata bila Caicedo na Trossard bado timu inacheza kibingwa
Sema scout ya BrightonLabda Kama humjui Di Zerbi ,Potter alikuwa anatumia back 3 ,pia Potter alikuwa Hana buildup nzuri Kama ya Di Zerbi
Huyo Potter kwa Di Zerbi Bado Sana .
Brighton Kama huwez kuishinda Buildup Yao lazima uteseke
Ni buildup mbili tu ndio Bora kuzidi ya Brighton ,ya Mancity na Arsenal
Advantage aliyoikuta Di Zerbi kakuta Kuna vipaji aliviacha Potter
Di Zerbi alienda Etihad akamu outplay Pep akazidiwa Quality tu
Nikweli kakuta Kuna msingi,na skauti yao Ni nzuriSema scout ya Brighton
De zerbi kakuta team msingi wake ushakaa vizuri ni vitu vichache tu kaongezea.
Naona kabisa msimu ujao Kuna watu wakienda tena kwa Mitomana BHA atawakamua
Sahiv Brighton wamekuwa wazuri kuliko hata wakat wa potter.Nikweli kakuta Kuna msingi,na skauti yao Ni nzuri
Plus na Uwezo wa Di Zerbi , Brighton wanacheza like Big teams
Kwangu hii Ni Brighton hatari kuliko Hata ya Potter
Mkuu Acha kumpakulia kocha wako Minyama ambayo haistahili...! Hiyo ni kazi ya Roberto De Zerbi mwenyeweKazi ya Potter hiyo. Kaijenga timu hata bila Caicedo na Trossard bado timu inacheza kibingwa
Potter Bado Sana kwa Di Zerbi,Kazi ya Potter hiyo. Kaijenga timu hata bila Caicedo na Trossard bado timu inacheza kibingwa
Kwa kujitahidi niko pamoja na ww kajitahidi.Hilo halipingiki Kaka Jesus Ni monster
Kuna Magoli tunafunga yule mwamba anaanzisha move yeye chini kabisa huku kwa Partey
Ila nketiah kajitahidi Sana kuziba pengo
Akili huna. Endelea kuota!Kazi ya Potter hiyo. Kaijenga timu hata bila Caicedo na Trossard bado timu inacheza kibingwa
Caicedo anaondoka kwa haya maneno. Rui Costa akiendelea kuzingua kwa Enzo tutakuja kupita nae huyu|| “I would like it if he could finish the season with us, but we are ready to go forward without him
De Zerbi
RUBISHPotter Bado Sana kwa Di Zerbi,
Di Zerbi ni moja ya matactician Bora EPL kama hujui Hilo
In terms of tactics
Pep GUARDIOLA
Jurgen Klopp
Mikel Arteta
Di Zerbi
George Ambangile anasema
Hii build up ya Brighton only Arsenal na City ndio better zaidi yao . Wana option tatu
Play through you
Play around you
Play over you
Chagua wewe unavyotaka ukienda kuwa press
2BCs na 2 CMs plus GK .. fullbacks outwide making the pitch bigger ( wanakuwa outballs)
RUBISH