OllaChuga Oc
JF-Expert Member
- Jul 4, 2016
- 21,932
- 25,245
Wachezaji kaa ao sisi hatuwataki ao wanafaa sana apo arse8 hawa wamerika kusini hawana historia nzuri pale darajani labda wachache kutoka BrazilChelsea toka Jana wamejikausha ,
Huyu sikuhizi namuona mbabaishaji saana hasa kwenye deals zetu. Sioni anajua.Fabrizio Romano ‘ the expectations are that Arsenal should make a new improved bid for Caicedo’
Nafasi ya 10Wachezaji kaa ao sisi hatuwataki ao wanafaa sana apo arse8 hawa wamerika kusini hawana historia nzuri pale darajani labda wachache kutoka Brazil
Trossad ni mchezaji wa kawaida sanaIngieni aise, Arsenal ina scout ya maana ,
Unataka kusema Mchezaji Ni Caicedo tu kwenye list ya Arsenal ?
Au huoni Quality ya Trossard?
And if CFC decide not to hijack the dealI Brighton could accept a new Arsenal bid for Moises Caicedo if they can strike an agreement with RB Leipzig for Amadou Haidara. [Football Insider]
Chuki zitakuuaTrossad ni mchezaji wa kawaida sana
ChelKenge huna mchezaji Kama Trossard ,uliuziwa Rahim Hana akili, usajili wote ule mpo Nafasi ya 10Trossad ni mchezaji wa kawaida sana
Chuki,upigaji ramli ,Roho mbaya ndio kazi yakeChelKenge huna mchezaji Kama Trossard ,uliuziwa Rahim Hana akili, usajili wote ule mpo Nafasi ya 10
Usajili wa January sitashangaa mkigombea kwenda championship
"SIZITAKI MBICHI HIZI"Sisi tukimkosa sio issue tuna option nyingi
Kazi kwenu ,mtasajili ila nafasi ya 10 sion mkichomoka aisee
Mkimkosa msiseme hamkutaka ,hamchelewi nyie
"SIZITAKI MBICHI HIZI"Kumbe ni FA league ndiyo tumelala 1-0 ambayo Arsenal FC imechukua mara nyingi tu?
Tuendeleze ubabe EPL mpaka kieleweke 2022/2023 Gunners kuwa Mabingwa wapya
Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
BADO MMELALA WATU WA HAPA? MNA RAHA GANI?
Mbona Caicedo ni direct replacement ya Partey, naposema direct naomba nieleweke.Pamoja na kuwa tunamtaka Caicedo, itachukua muda kupata mtu wa aina ya Partey. Tom, pamoja na janga lake la majeruhi, ni kiungo aliyekamilika. Ana uwezo Mkubwa wa mpira.
Ana uwezo wa kudictate midfield na kucheza kama anavyotaka yeye, na ana akili kubwa na utulivu anapokuwa na mpira.
Tom ana kitu tunachokiita Defensive Discipline, anajua wapi nipite na mpira na anajua wapi nipitishe mpira badala ya kwenda nao. Anajua wakati timu pinzani imekuja juu, kwamba afanye nini kurudisha mpira uwe katika hali ya kawaida.
Ana uwezo wa kupiga mashuti, na ana uwezo Mkubwa wa kupiga pasi. Anajua hii pasi sikupi wewe kwa sababu Fulani, Nampa Fulani kwa sababu Fulani...yaani haachii pasi ovyo.
Kwa neno moja tunasema ana High Maturity.
View attachment 2498873
Anaweza kucheza pale kwa XHAKA piaMbona Caicedo ni direct replacement ya Partey, naposema direct naomba nieleweke.
Ila wengi mnamisplofile Caicedo, bado namuona km LCM, acheze role ya Wijnaldum liverpool nyuma akiwa a tall guy Fabinho, ni kama Caicedo nyuma akiwepo a tall guy Declan Rice.