mkuu sometimes weka ushabiki pembeni... tuna beki mbovu... umaliziaji butu.. pasi nyingiii.. game plan ya wenger imepitwa na wakati
Wacha1 bwana mara beki mbovu! mara Ferg katoa bahasha! Sasa sijui lipi la kweli. Au beki wa arsenal nao wamepewa bahasha?
Nimeshasema sibadilishi jina mpaka Wenger aondoke, sijampinga kama kocha wetu, ni kwamba mda umefika afanye mabadiriko au abadirishwe yeye.
Board najua wako nae kutokana na mahesabu sema fans sasa watapata nguvu sasa hivi ya kuhimiza mabadiriko.
umetumia statistics zipi kuja nahuo mstari wa mwisho ?Beki yetu imekuwa inammiss sana T5 ambaye hakucheza msimu mzima tulitegemea angekuwa ok Jan/Feb lakini hakuweza kurecover, vile vile tumekuwa tunapigwa vita sana na the whole media machinery na Mafioso wakimwaga mpunga kama vile wamepata kichaa.
BTW hii mechi inafanya mechi ya weekend na Manure kuwa formalities tu kwa sababu sioni haja ya kuwakata nishai na kuwa na kelele za mafioso.
BTW defence ya Arsenal statistically ni nzuri kuliko ya Manure .... ...
Mkuu ukiangalia statistics Arsenal wana defence nzuri kuliko Manure sasa hapa sijui unaongea nini? Data zipo kaangalie, you guys mnaangalia haya mambo kijuu juu sana bila kufanya tathmini kiundani unless hufahamu what is happening within the football game.
Beki yetu imekuwa inammiss sana T5 ambaye hakucheza msimu mzima tulitegemea angekuwa ok Jan/Feb lakini hakuweza kurecover, vile vile tumekuwa tunapigwa vita sana na the whole media machinery na Mafioso wakimwaga mpunga kama vile wamepata kichaa.
BTW hii mechi inafanya mechi ya weekend na Manure kuwa formalities tu kwa sababu sioni haja ya kuwakata nishai na kuwa na kelele za mafioso.
WTF.... hamjamaliza kwenye top 2 in five years...? Alafu manataka mspring kwenye championship? GTFOH!
On a serious note nawaonea Arsenal fans huruma maana duh walikuwa wanaonekana kama timu yao imeshuka daraja, I said it and I will say it again mechi ya Bolton na Stoke ni very dodgy
Tangu mmefungwa na Birmingham mmeshinda mechi mbili kati ya kumi FACT!!
Kikulacho kinguni mwako FACT
Chenga twawala hazileti ubingwa FACT
Wacha1 atalalamikia bahasha na marefa na Man Utd FACT
Nimeshasema sibadilishi jina mpaka Wenger aondoke, sijampinga kama kocha wetu, ni kwamba mda umefika afanye mabadiriko au abadirishwe yeye.
Board najua wako nae kutokana na mahesabu sema fans sasa watapata nguvu sasa hivi ya kuhimiza mabadiriko.
Tatizo kubwa la Arsenal ni kocha/meneja...AW ni kichwa ngumu,nitashangaa kama ataendelea kubaki Arsenal...
Matatizo yetu ni haya.....
1.Hatuna kipa,tunahitaji kipa wa aina ya Edwin Van de Sar,Pepe Reina ama Peter Cech....Hawa tulionao hawastahili hata kucheza kwenye timu ya vijana,mara kumi hata tungekuwa na Shabani Kado lakini si hawa vilaza.
2.Hatuna beki,tangu kuumia kwa Thomas Vermaelen tatizo la beki limeonekana dhahiri,angekuwepo Thomas angalau matatizo yangepungua,tunahitaji beki mwningine ambaye atasaidiana na Verma na Djourou.....Squillaci na Kosch waondoke...Pia Sagna, Clichy ,Gibbs na Eboue nao wamezembea sana
3.Katikati/kiungo hakuna tatizo kubwa sana wanacheza vizuri sema kuna kipindi wanaboronga sana hasa anapochezeshwa Diaby,huyu Diaby inabidi aondoke mara moja..Tunao wachezaji wazuri sana wa kiungo Nasri,Song,Wilshire,Ramsey(akirudi kwenye form ni mzuri sana) na Fabregas
4.Safu ya ushambuliaji ndio butu kabisa,tunaye mshambuliaji mmoja tu,RVP na kwa mbaaali Theo,hao wengine wote akina Chamakh,Bendtner,Rosicky,Arshavin n.k imefika wakati wa kuwapa mkono wa kwa heri,waondoke
Mwisho kabisa tunahitaji kumfukuzia mbali AW ili tuondokane na tabia iliyojengeka ya kuwasajili wachezaji wa bei nafuu na walegevu toka Ligue 1
Bala.
Mkuu ukiangalia statistics Arsenal wana defence nzuri kuliko Manure sasa hapa sijui unaongea nini? Data zipo kaangalie, you guys mnaangalia haya mambo kijuu juu sana bila kufanya tathmini kiundani unless hufahamu what is happening within the football game.
bro... niambie game gani msimu huu Man utd alipiga goli nne na kurudi zote... au alikuwa akiongza goli tatu alafu zikarudi zote... kubali bro.. msimu huu tuna beki mbovu kushinda wote walio top 4
Mkuu ukiangalia statistics Arsenal wana defence nzuri kuliko Manure sasa hapa sijui unaongea nini?Data zipo ka angalie, you guys mnaangalia haya mambo kijuu juu sana bila kufanya tathmini kiundani unless hufahamu what is happening within the football game.
acha kudanganya watu wewe...ebu cheki data hapa chini ucheki goals for kwa arse--nal na ucheki kwa Man U afu useme kua arse--nal wana defence nzuri kuliko Man U..defence nzuri umepoteza mechi 6 wakati Man U wamepoteza 3!!!
Barclays Premier League Football League Table 2010/11 on the Official Site of the Premier League
Live Barclays Premier League Tables / Standings - ESPN Soccernet
nadhani ni stress za kufungwa...khe khe khe khe
mkuu stats never lie....
Ukweli ni kwamba hata mimi nikilina jina lako napata kichefuchefu(sory to say this) maana SIMPENDI AW na sitaki hata kumuona...
Ukiweza naomba ubadilishe jina lako hilo unalotumia hapa JF mkuu...
Natanguliza shukrani zangu za dhati.....
umetumia statistics zipi kuja nahuo mstari wa mwisho ?
Wenger hayuko serious na anapenda kuchukua risk zisizokuwa na maana. Alijua tunaitaji beki january lakini alipuuza.
Mkuu ukiangalia statistics Arsenal wana defence nzuri kuliko Manure sasa hapa sijui unaongea nini? Data zipo kaangalie, you guys mnaangalia haya mambo kijuu juu sana bila kufanya tathmini kiundani unless hufahamu what is happening within the football game.
Mkuu hizo ni facts sasa kama hutaki shauri yako. Nafikiri wengi hawaelewi sports in general how is run and how manipulative it can be through the media etc. Why Wenger wanamwandama 'cause he is the most succesful manager and not British or Scottish
Mkuu ukiangalia statistics Arsenal wana defence nzuri kuliko Manure sasa hapa sijui unaongea nini?Data zipo ka angalie, you guys mnaangalia haya mambo kijuu juu sana bila kufanya tathmini kiundani unless hufahamu what is happening within the football game.
acha kudanganya watu wewe...ebu cheki data hapa chini ucheki goals for kwa arse--nal na ucheki kwa Man U afu useme kua arse--nal wana defence nzuri kuliko Man U..defence nzuri umepoteza mechi 6 wakati Man U wamepoteza 3!!!
Barclays Premier League Football League Table 2010/11 on the Official Site of the Premier League
Live Barclays Premier League Tables / Standings - ESPN Soccernet
nadhani ni stress za kufungwa...khe khe khe khe
mkuu stats never lie....
Mkuu unaangalia kwa miwani nini? katupe hiyo nunua mingine khe khe kheeeeeeeeeeeeeee
Sasa unataka tulalamike kabla matokeo ya mechi?
Ebu nendeni kwenye pasaka tuacheni hapa mara tunamkutano wazarula.
............... pasi nyingiii.. game plan ya wenger imepitwa na wakati
..................
Chenga twawala hazileti ubingwa FACT
.....................
Mkuu hizo stats ni za EPL mwaka huu so far ..... ..... ....... ......