Passenger19
JF-Expert Member
- Aug 14, 2021
- 615
- 1,002
Hawa wanatafuta ahueni maana Timu zao papatupapatu kibao
Pamoja na kuingia lokonga ,Bado city hakuwa Bora Kama.alivyozoea miaka iliyopita
Ila Haw
Hata mechi ya jana tungeweza kushinda just angeanza odegaard na zinchenko. Nawaona city wakipoteza mechi ijayo na spursHawa wanatafuta ahueni maana Timu zao papatupapatu kibao
Pamoja na kuingia lokonga ,Bado city hakuwa Bora Kama.alivyozoea miaka iliyopita
Ila Hawa jamaa wanaleta ushabiki wapoze machungu maana jumapili tuliwafanyia msako wa nyani .
Naona umekuwa mgangaHawa Nyani ni one season wonder, hamna kombe watalopata msimu huu zaidi ya kuongoza ligi kwa kipindi kirefu, hayo ndio mafanikio yao makubwa.
Hawa kima hawana tofauti na Wolves ambao mwaka jana walikua wanapambania kuingia top4 halafu msimu huu wanapambania wasishuke daraja.
Ila Arsenal mna mikimbio mizuri hata kama mkifungwaNaona umekuwa mganga
Kama ya nketiah alivyofanya kwa bissaka😂😂Ila Arsenal mna mikimbio mizuri hata kama mkifungwa
Naona na wewe pia umekuwa mganga?Hata mechi ya jana tungeweza kushinda just angeanza odegaard na zinchenko. Nawaona city wakipoteza mechi ijayo na spurs
Correction, Caicedo is earning 3k p/w at this moment.Ana profile gani mchezaji wa Brighton anayelipwa 15k p/w?
Mpira ndivo ulivyo kuna kipindi City inafungwa na Southampton kwa umiliki wa mpira 76%na City inafungwa,City ilitolewa na Real Madrid kwenye nusu fainali wakati City wamepiga mwingi adi umiliki wa mpira city alikuwa juu sana, lakini Madrid kamwondoa,hata mwaka jana Asenal mlisema hivyo baada ya kufungwa 2-1 kama mchezaji asingelipata nyekundu City asingelitoboa,Mwaka kafunga mkiwa kamili bado mnasema City hajacheza mpira,kifunga sio ukamilike kila kitu ndio uonekane unajua.Asenal Sasahivi ni kibonde kwa City kibali kataa tokea 2015 Asenal haijawai kichua point kwa cityHawa wanatafuta ahueni maana Timu zao papatupapatu kibao
Pamoja na kuingia lokonga ,Bado city hakuwa Bora Kama.alivyozoea miaka iliyopita
Ila Hawa jamaa wanaleta ushabiki wapoze machungu maana jumapili tuliwafanyia msako wa nyani .
Kama nyie mnavyopigania carabao cup, uongo!Arsenal FA ndo kombe lenu na ndo mmetolewa kwaiyo poleni sana tuonane mwakani ndo mmetoka bila kombe hivyo.
Jipangeni upya tu kwa ajiri ya mwakani kama kombe lenu la bahati hamkuwa serious nalo ndo byebye mpaka mwakani kupata kombe
Naomba na ninyi mpate majeruhi kama sisi muachage kuwabeza walio wodini
Haya ebu mtuambie Partey anarudi lini au baada ya MRI Scan
Nasikia inaweza kwenda hadi Jul 2023
Arteta aliliona hili ndio maana anataka kumuuza Lukonga na Moises Caicedo sasa anaitaka Chelsea tu
Mashabiki wa unyumbun wamejazana humu kupoza machungu ya Jumapili
najua good ebening hatowaacha salama liver na chelsea llazima watapigania nafasi ya 10Watu wote mnaoumia kwa mafanikio ya Arsenal endeleeni kuumia tu maana hatuna la kufanya.
Always at the top!
View attachment 2498261
Nasikia tayari huko brighton wanataka euro 100m kwa caicedo!
EXCL: Moises Caicedo didn’t turn up for training today — he wants leave immediately. Caicedo could also miss tomorrow’s game.Nasikia tayari huko brighton wanataka euro 100m kwa caicedo!